×

Michezo

WATOTO WA ‘MITAANI’ TZ WAICHABANGA MAREKANI 5-0

Timu ya watoto wa kike wanaoishi katika mazingira magumu kutoka nchini Tanzania, imeifunga timu ya watoto kama hao kutoka nchini...

READ MORE

Yanga Yafunguka Kumchukua Adam Salamba wa Lipuli

Uongozi wa klabu ya Yanga umefunguka na kuwataka wapenzi wa soka nchini wafahamu kwamba lengo la wao kutaka kumchukua mshambuliaji...

READ MORE

Tatizo Kubwa Linaloitafuna Yanga ni Uongozi

YANGA imeanza kinyonge mechi zake za makundi ya Kombe la Shirikisho baada ya kupoteza ugenini dhidi ya USM Algiers. Ni...

READ MORE

Yondani Arejea Yanga, Aanza Mazoezi

IKIJIANDAA na mchezo wake wa pili wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Rayon Sports ya...

READ MORE

FT: SINGIDA 0- 1 SIMBA, KUTOKA UWANJA WA NAMFUA, SINGIDA

   Singida United 0 – 1 Simba SC Dakika 89 Deus Kaseke na Kenny Ally wanatafuta bao la kuwasawazishia Singida...

READ MORE

Bodi ya Ligi Yagoma Kuwakabidhi Simba Kombe Lao Singida

BODI ya Ligi Tanzania (TPLB) imethibitisha kwamba Simba hawatakabidhiwa kombe lao leo Jumamosi lakini litakuwa jipya na ghali kuliko yale...

READ MORE

MASHABIKI WA SIMBA WATEKA UWANJA WA SINGIDA

Mashabiki wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi katika uwanja wa Namfua kuishangilia timu yao itakayocheza...

READ MORE

Mkude Aweka Rekodi ya Pekee Simba SC

KIUNGO mkabaji wa Simba, Jonas Mkude amefanikiwa kuandika rekodi ya pekee klabuni hapo baada ya juzi Alhamisi timu hiyo kutangaza...

READ MORE

Singida United: Hatutaipigia Makofi Simba SC

WAKATI Simba wakijiandaa kuapizwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Bara watakapotua uwanjani leo Jumamosi kuwavaa Singida United, wapinzani wao...

READ MORE

Vurugu za Simba Baada ya Ubingwa – Video

Simba wanakabidhiwa ubingwa wakiwa mjini Singida hata kabla ya kuivaa Singida katika mechi yao ya Ligi Kuu Bara, kesho Jumamosi....

READ MORE

Yanga Umaskini Ni Wa Kujitakia Tu

  WAKATI Klabu ya yanga ikipitia kipindi kigumu cha kuwa na hali mbaya ya kifedha, unaweza kusema kuwa katika hali...

READ MORE

Yaya Toure Aagwa Kwa Heshima Man City

HATIMAYE kiungo Yaya Toure ameagwa rasmi ndani ya Klabu ya Manchester City baada ya kuitumikia timu hiyo kwa miaka nane....

READ MORE

Mourinho: Nitapitisha Panga Man United

KOCHA wa Man­chester United, Jose Mourinho amekiri kuwa kuna wachezaji ambao watalazimika kuondoka klabuni hapo kwa kutofikia levo za kuichezea...

READ MORE

FT: PRISONS 2-0 YANGA

DAKIKA 4 ZA NYONGEZA Dk 89, Prisons wanafanya shambulizi jingine lakini krosi ya Mpepo inatoka nje KADI Dk 86, Kakolanya...

READ MORE

Yanga: Tulieni Bado Tuna Mechi 5

YANGA imewaambia mashabiki wao kwamba matokeo ya kipigo cha mabao 4-0 dhidi ya USM Algiers yasiwapanikishe kwani bado wana michezo...

READ MORE

Pluijm Aapa Kulipa Kisasi Kwa Simba

  KOCHA wa timu ya Singida United, Mholanzi, Hans van Der Pluijm kuelekea kwenye mechi yao dhidi ya Simba itakayopigwa...

READ MORE

Yanga Yasalimu Amri Simba Bingwa

HATIMAYE benchi la ufundi la Klabu ya Yanga limeamua kukubali kuwa wapinzani wao Simba kwa msimu huu ndiyo mabingwa huku...

READ MORE

Straika Mtogo Awalainishia Yanga

STRAIKA Mtogo, Djako Arafat ambaye aliwalaza Yanga na viatu waliporudiana na Wolayta Dicha nchini Ethiopia amewaita rasmi mezani kwa kuwatajia...

READ MORE

Yanga Yaweka Rekodi Mbaya Afrika

WAWAKILISHI wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga, wameanza vibaya michuano hiyo kufuatia kuweka rekodi mbaya katika mechi za...

READ MORE

Yanga Jifunzeni Kupokea Hata Vidogo

KW A N Z A kabisa nichukue nafasi hii kuipongeza timu ya Simba kwa kuwa karibu kabisa kutwaa ubingwa wa...

READ MORE

ABDI BANDA ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA AFRIKA KUSINI

  BEKI Mtanzania, Abdi Banda, anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini katika Klabu ya Baroka, amechaguliwa kuwa mchezaji bora...

READ MORE

Akilimali Atoa Neno Baada Ya Kipigo Cha Yanga

    LICHA ya kuanza vibaya kwa kuchapwa mabao 4-0 dhidi ya USM Alger katika mchezo wa Kombe la Shirikisho...

READ MORE

Okwi: Simba Tulieni, Tunashinda Mechi Zote

MSHAM-BULIAJI wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kusema kuwa watahakikisha wanashinda mechi zote zilizobakia...

READ MORE

Ghafla! Tambwe Apewa Tano Simba

WAKATI kikosi cha Simba kikikaribia kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, mshambuliaji wa timu hiyo, Mganda, Emmanuel Okwi...

READ MORE

Kwasi: Haikuwa Rahisi Sisi Kufika Hapa

  BEKI Mghana wa Simba, Asante Kwasi amefunguka kuwa, haikuwa kazi rahisi kwao kufikia hapo walipo mpaka sasa wanaona wa­naelekea...

READ MORE

Yanga Yatua Kutokea Algeria, Baada ya Kupigwa 4G (Picha + Video)

KIKOSI cha Yanga kimewasili Dar leo (Jumanne) Mei 8, 2018 kikitokea Algeria ambako kilicheza mchezo wake wa kwanza wa hatua...

READ MORE

Simba Bingwa 98%

HAKUNA ubishi tena kwamba Simba imefanikiwa kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2017/18 labda itokee miujiza isiyo...

READ MORE

TAMBWE Anyoosha Mikono kwa Okwi, Mwenyewe Afunguka – Video

MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Simba SC, Emmanuel Okwi amesema kuwa anamshukuru Amissi Tambwe kwa kukubali ambacho amekifanya na kukubali kuwa...

READ MORE

Championi Lambana Hans Poppe, Asisitiza Hajakimbia

BAADA ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar kutoa amri ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya...

READ MORE

EL CLASICO: VITA YA BARCELONA VS MADRID, HAKUNA MBABE

Mchezo wa pili wa El Clasico kati ya mahasimu Fc Barcelona na Real Madrid kwa msimu wa La Liga wa...

READ MORE

Yondani Azua Hofu Yanga

SIKU chache baada ya beki wa kati wa Yanga, Kelvin Yondani, kumtemea mate beki wa Simba, Asante Kwasi na suala...

READ MORE

Yanga SC Kumalizana Na Kina Tshishimbi, Chirwa

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeweka bayana kuwa utamalizana na wachezaji wake juu ya malimbikizo ya fedha zao muda mfupi...

READ MORE

USM Alger Yaifanyia Kitu Mbaya Yanga, Yaipiga 4G

KLABU ya Yanga imeanza vibaya kaika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kukubali kichapo cha bao...

READ MORE

Kinachotokea Yanga Kinaweza Kuwa Funzo Kwa Timu Nyingine

YANGA usiku wa kuamkia leo ilicheza mechi yake ya kwanza ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika bila...

READ MORE

Yanga Yapigwa Bao 4-0 Dhidi Ya USM Alger

Kikosi cha Yanga kimefungwa bao 4- 0dhidi ya USM Alger, mchezo wa kwanza katika hatua ya makundi ya Kombe la...

READ MORE

Simba Bingwa Ligi Kuu Bara 2017/18, Bado Point 2 Tu!

    TIMU ya Simba imechapa Ndanda FC inayopambana isishuke daraja, bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es...

READ MORE

FT: SIMBA 1-0 NDANDA FC, UWANJA WA TAIFA, DAR

FULL TIME Mwamuzi anamaliza mchezo. Dk ya 90: Zinaonyeshwa dakika nne za nyongeza. Dk ya 87: Simba wanaendelea kutengeneza nafasi...

READ MORE

MECHI ZA LEO TANZANIA, NJE BAB’KUBWA USIKOSE UHONDO HUO!

LEO Mei 6, 2018 ni siku nzuri kwa wapenda soka nchini na wanaofuatilia mechi nyingine za soka duniani kwani mechi...

READ MORE

Yanga Yaungana na Man United Kumuombea Alex Ferguson

Klabu ya soka ya Yanga imeungana klabu ya soka ya Manchester United na mashabiki wengine wa soka duniani kumuombea apone...

READ MORE

YONDANI AINGIA KWENYE RADA ZA SIMBA

Wakati Yanga wakihaha kum­bakisha beki mkongwe wa kati, Kelvin Yondani watani wao wa jadi Simba nao wame­ingia rada za kuhakikisha...

READ MORE