×

Michezo

RASMI: SANCHEZ AKUBALI KUTUA MAN UNITED

Alexis Sanchez amekubali kujiunga na Manchester United, hii sasa ni rasmi. Kikubwa kinachosubiriwa ni uamuzi wa kiungo Henrikh Mkhitaryan ambaye...

READ MORE

Mourihno Kuongeza Mkataba Mpya Man U

MENEJA Mkuu wa Man U, Jose Mourinho ameanza kufanya mazungumzo ili kufikia makubaliano na uongozi wa klabu hiyo ili aendelee...

READ MORE

Mourinho Azidi Kukomaa na Sanchez Mpaka Kieleweke

Meneja wa klabu ya Manchester United, Jose Mourinho amewasili katika uwanja wa Old Trafford siku ya Jumatano asubuhi huku ikiwa...

READ MORE

FT: Kutoka Uhuru Stadium: Yanga 0-0 Mwadui

    Mpira umekwisha, Yanga 0 – 0 Mwadui Fc. Yondani anamchezea madhambi mchezaji wa Mwadui, analambwa kadi ya njano....

READ MORE

Breaking News: Theo Walcott Afuzu Vipimo na Kujiunga Everton

  WINGA wa Arsenal, Theo Walcott amefuzu vipimo vya afya na kukubali dau la kujiunga na Klabu ya Evertonal. Taarifa...

READ MORE

Ronaidinho Gaucho, Atundika Daluga

NGULI wa soka nchini Brazil ambaye ni mshindi wa tuzo ya mwanasoka bora wa dunia Balon d’Or mwaka 2005, Ronaldo...

READ MORE

Cristiano Ronaldo Aanza Harakati za Kurejea Man U

STAA wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo hana furaha Real Madrid na anataka kurejea Manchester United. Ronaldo amekasirishwa na kitendo cha...

READ MORE

Okwi Ampa Matumaini Ya Ushindi Djuma

KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Mrundi, Masoud Djuma ametamka kuwa mshambuliaji wake Mganda, Emmanuel Okwi anatarajiwa kuwepo kwenye orodha ya...

READ MORE

Yanga Yachimbwa Mkwara Mzito

KUFUATIA uongozi wa Yanga kudaiwa kufanya mazungumzo na kiungo wa JKU na Zanzibar Heroes, Feisal Salum ‘Fei Toto,’ uongozi wa...

READ MORE

YANGA WASAINI DILINONO NA KAMPUNI YA MACRON KUTOKA ITALY

KLABU ya Yanga leo imeingia mkataba na Kampuni ya Macron ambao wataidhamini klabu hiyo juu ya jezi. Mkataba huo walioingia...

READ MORE

KISA CHIRWA, YANGA YAWAJIA JUU TFF

Msemaji wa Yanga, Dismas Ten akieleza juu ya maandalizi ya kikosi chao kabla ya mechi na Mwadui FC, kesho Jumatano....

READ MORE

‘Deal Done’: Mkhitaryan Asepa Arsenal, Sanchez Kuelekea Man U

TETESI zinaeleza staa wa Man U, Henrikh Mkhitaryan amekubali kujiunga na Klabu ya Arsenal ambapo sasa Alexis Sánchez anafanya mazungumzo...

READ MORE

MAN UNITED YAFANYA KWELI, YASHINDA 3-0, POGBA, LUKAKU WANG’ARA

Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ iliendelea usiku wa jana ambapo wababe kutoka Jiji la Manchester, timu ya Manchester United...

READ MORE

TAARIFA RASMI ZA HAJI MANARA KUTIMULIWA SIMBA HIZI HAPA…

Kuanzia jana jioni hadi usiku kulikuwa na taarifa inayosambaa kuwa Klabu ya Simba imeamua kumtoa kwenye nafasi ya Ofisa Habari,...

READ MORE

VODACOM TANZANIA YAMKABIDHI MUDATHIR YAHAYA TSH MILIONI 1 NA TUZO

Kampuni ya simu za mkononi nchini, Vodacom Tanzania, wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara wamemkabidhi kiungo wa...

READ MORE

Yanga SC: Mwadui Kaeni Mbali Kabisa

BENCHI la ufundi la Yanga chini ya kocha wake mkuu, George Lwandamina limeibuka na kuwapiga biti wapinzani wao Mwadui FC...

READ MORE

Ninja Arejea Mdogomdogo Yanga

  BAADA ya kuikosa michuano ya Kombe la Mapinduzi, beki wa kati wa Yanga, Abdallah Saibu ‘Ninja’, amepata nafuu ya...

READ MORE

TFF Yamtia Kitanzi Chirwa, Afungiwa na Kupigwa Faini

Kamati ya nidhamu iliyokutana jana Jumapili, Januari 14, 2018 imepitia kesi ya mshambuliaji wa Yanga SC, Obrey Chirwa iliyowasilishwa na...

READ MORE

Mkude: Tulieni Pointi Tatu za Singida Zinakuja

BAADA ya Simba kutokuwa na matokeo mazuri katika mechi za hivi karibuni kwa kutolewa kwenye Kombe la FA na Mapinduzi...

READ MORE

Klopp Amnyamazisha Guardiola

VINARA wa Ligi Kuu tya Uingereza, Manchester City jana walichezea kichapo cha bao 4-3 kutoka kwa vijana wa Jurgen Klopp...

READ MORE

Jose Mourinho Amvuta Sanchez Kijanja

KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho amethibitsha kwa ujanja kuwa naye anamtaka Alexis Sanchez baada ya kumpa sifa nyingi. Mourinho...

READ MORE

AZAM FC WAPOKELEWA KWA MBWEMBWE DAR NA KOMBE LAO (PICHAZ + VIDEO)

Baada ya kumaliza kazi kisiwani Unguja, kikosi cha Azam FC kimewasili jijini Dar es Salaam, asubuhi ya leo na kupokelewa...

READ MORE

BAADA YA UBINGWA WA MAPINDUZI CUP, AZAM FC IMECHUKUA MAAMUZI HAYA KUHUSU SURE BOY…

Azam Fc imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi, hiyo ni baada ya kuifunga URA ya Uganda kwa penati 4-3....

READ MORE

Panga La Mafaza Laja Yanga

PANGA kubwa ambalo litaondoka na mafaza kadhaa linakuja ndani ya Yanga, hii inatokana na mabadiliko makubwa yaliyoonyeshwa na wachezaji vijana...

READ MORE

Eto’o Azindua Mashindano ya Castle Africa 5-a-side, Tanzania Kushiriki

Legendari WA soka kutoka nchini Cameroon, Samuel Eto’o, amefungua mashindano ya Castle Africa 5-a-side mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini juzi...

READ MORE

Kichuya Ajichongea Kwa Kocha Simba

KAMA ulidhani Ramadhani Kichuya ni staa pale Simba na kamwe hawezi kuguswa basi sahau kwani kaimu kocha mkuu wa timu...

READ MORE

Okwi, Niyonzima Waondolewa Simba

KAIMU Kocha wa Simba, Masoud Djuma amewaondoa kikosini wachezaji Haruna Niyonzima na Emannuel Okwi kutokana na majeraha yao ya muda...

READ MORE

Neymar Ageuka Mzee wa Mkwanja, Sasa Kutimkia Real Madrid

  STAA wa soka Raia wa Brazil anayekipiga katika Klabu ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa, Neymar Jr (25) anahusishwa kutimkia...

READ MORE

Sokabet: Wikiendi Ya Kushinda Mamilioni Ni Hii Hapa

SOKABET ni kampuni inayojihusisha na mchezo wa kubashiri matokeo ambayo huduma zake ni za kiwango cha juu tofauti na makampuni...

READ MORE

Msuva: Chongeni Tu, Ila Yanga Bingwa

STRAIKA wa Difaa Al Jadida ya Morocco na Taifa Stars, Saimon Msuva, amesema kwa namna alivyoishuhudia Yanga katika Kombe la...

READ MORE

Mrundi: Msiogope Ubingwa Simba Lazima

SIKU chache baada ya kutolewa katika hatua ya makundi ya Kombe la Mapinduzi, Kaimu Kocha wa Simba, Masoud Djuma amewashusha...

READ MORE

Chirwa Awakosesha Wenzie Mamilioni

PENALTI ya mwisho ya mshambuliaji Mzambia, Obrey Chirwa ambaye mitaani wamempachika jina la Bwana Shamba, imewakosesha Sh10 milioni wachezaji wa...

READ MORE

Azam: Jiandaeni Kushangilia Leo Dhidi ya URA Ya Uganda

  KLABU tajiri zaidi kwenye Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ambayo uwanja wake umepitishwa na Shirikisho la Soka la...

READ MORE

Chan Yaanza Leo Bila Stars

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, ameteuliwa na Caf, kuwa kamishina wa mechi ya kwanza ya ufunguzi...

READ MORE

Kisa Simba, Julio Ataka Nyumba Oysterbay

BAADA ya Simba kuonekana kusuasua ka­tika mechi za hivi karibu­ni, Kocha Mkuu wa Dodoma FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amefun­guka kama...

READ MORE

Ajibu Aomba Radhi Yanga

BAADA ya kipigo cha penalti 5-4 dhidi ya URA, juzi mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu Migomba ameom­ba radhi kwa mashabiki...

READ MORE

Mzee Akilimali Aingilia Ishu Ya Chirwa

MWENYEKITI wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahim Akilimali amemtetea mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga, Mzambia, Obrey Chirwa kufuatia kukosa...

READ MORE

Azam FC Yaipania URA Fainali Mapinduzi Cup

  NAHODHA wa Azam FC, Himid Mao amefunguka kuwa anaamini watapata ushindi katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi...

READ MORE

YANGA WARUDI DAR, VICHWA CHINI

BAADA ya jana Klabu ya Yanga kuondoshwa kwenye Michuano ya Mapinduzi Cup na Klabu ya URA ya Uganda katika nusu...

READ MORE