×

Michezo

Salum Mkemi wa Yanga Aitwa Mbele ya Kamati ya Nidhamu ya TFF Kama Manara

Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Salum Mkemi aitwa mbele ya Kamati ya Nidhamu ya TFF kufuatia tuhuma zinazomkabili....

READ MORE

Usikose Kutazama SpotiHausi Leo Alhamisi, Saa 10:00 Jioni -Global TV Online

  #SpotiHausi ni kipindi cha #Michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni. Wachambuzi wa michezo Saleh Jembe, Wilbert...

READ MORE

Simbu Aeleza Alivyovunja Rekodi Yake ya Olimpiki

MAKALA: IBRAHIMU MUSSA | CHAMPIONI JUMATANO | HABARI MWANARIADHA wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu, wikiendi iliyopita alifanikiwa kushika nafasi ya...

READ MORE

Simba, Yanga Acheni Kulia Njaa, Amkeni Sasa

MAKALA: MUSA MATEJA – SAUZI | CHAMPIONI JUMATANO |HABARI KLABU kongwe nchini Tanzania za Simba na Yanga, zimekuwa zikilia njaa...

READ MORE

Mechi 1 Tu Simba Kimataifa, Wakiomba Yanga washinde Jumapili

NA MWANDISHI WETU | CHAMPIONI JUMATANO | HABARI NI sahihi kusema kuwa Simba wataishangilia Yanga Jumapili kama wenyewe watakuwa wameshinda...

READ MORE

Barcelona Yatangaza Kumuuza Neymar

Mkurugenzi wa Ufundi wa Barcelona, Robert Fernandez amezungumzia juu ya suala la timu hiyo kumuuza staa wao, Neymar kisha kufanya...

READ MORE

Banda Arejesha Matumaini Simba

Wilbert Molandi, Championi Jumatao, Habari KUREJEA kwa beki kiraka, Abdi Banda kumempa matumaini Kocha Mkuu wa Simba, Mcameroon, Joseph Omog...

READ MORE

Haji Manara Aipinga Adhabu ya TFF ya Kumfungia Mwaka

Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amepingana na maamuzi ya hukumu iliyotolewa jana na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la...

READ MORE

Ajibu, Mkude Wafungiwa Vioo Simba

Khadija Mngwai | CHAMPIONI JUMATATU| Dar es Salaam UONGOZI wa Klabu ya Simba umeonekana kuwafungia vioo wachezaji wake wawili mshambuliaji...

READ MORE

Tambwe Aitangazia Vita Simba

Sweetbert Lukonge | CHAMPIONI JUMNATATU| Dar es Salaam BAADA ya juzi Jumamosi, mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe...

READ MORE

Yanga: TFF Wanatunyima Ubingwa

Ibrahim Mussa | CHAMPIONI JUMATATU|  Dar es Salaam KOCHA Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi, amelitupia lawama Shirikisho la Soka Tanzania...

READ MORE

Bossou Ndiyo Basi Tena Yanga

Sweetbert Lukonge | CHAMPIONI JUMNATATU| Dar es Salaam KIKOSI cha Yanga, juzi Jumamosi kilifanikiwa kutinga nusu fainali ya Kombe la...

READ MORE

Messi Ainyamazisha Santiago Bernabeu Kibabe, Waipiga Madrid Bao 3-2

Barcelona imepata ushindi wa mabao 3-2 katika mchezo unaojulikana kwa jina la El Clasico ambapo walikuwa wababe dhidi ya Real...

READ MORE

Rasmi TFF Yatangaza Kuipoka Simba Pointi 3, Yazirudisha Kwa Kagera Sugar

Mambo yamezidi kuwa mambo katika soka la Tanzania hiyo ni baada ya Shirikisho la Soka la Mpira wa Miguu Tanzania...

READ MORE

Mtifuano wa Shirikisho la Azam Wafikia Patamu

Mtifuano wa Kombe la Shirikisho la Azam leo umefikia patamu baada timu zitakazomenyana katika nusu fainali kujulikana baada ya droo...

READ MORE

TFF Yamfungia Haji Manara Mwaka 1 na Faini Ya Tsh Milioni 9

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza kumfungia Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara kutojihusisha na soka kwa miezi...

READ MORE

Mtanzania Alphonce Simbu Ameshika Nafasi ya 5 London Marathon

Mwanariadha Mtanzania, Alphonce Simbu, leo Jumapili amefanikiwa kushika nafasi ya tano katika mashindano ya mchezo wa riadha ya mbio ndefu...

READ MORE

Sakata la pointi 3 Kati ya Kagera Sugar na Simba Mwisho Leo

BAADA ya takribani wiki moja ya mvutano mkali na mjadala usiokuwa na mwisho wa Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi...

READ MORE

Serengeti Boys Yaichakaza Gabon Mabao 2-1

Timu ya taifa ya Tanzania vijana wenye umri chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ jana walifanikiwa kuichakaza Gabon kwa mabao...

READ MORE

Baada ya Kutolewa Caf, Sasa Yanga Kumalizia Hasira Kwa Prisons leo, Taifa

Timu ya Yanga inatarajiwa kushuka uwanjani leo  Jumamosi saa kumi kamili kukipiga dhidi ya Tanzania Prisons katika mechi yao ya...

READ MORE

Simba Waomba Kuandamana Kwenda Kwa Waziri Kisa TFF

Taarifa ni kuwa Klabu ya Simba imeomba kuandamana kuelekea kwa Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Aveva, Harrison Mwakyembe...

READ MORE

TAZAMA LIVE: Matokeo ya Droo ya Nusu Fainali ya UEFA Europa League

ILE droo ya kupanga mechi za Nusu Fainai ya Kombe la Europa League imechezeshwa leo ambapo nusu fainali hizo mbili...

READ MORE

VIDEO: Matokeo ya Droo Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya

#UCLdraw #ChampionsLeague Matokeo ya droo nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. 1. Real Madrid v Atletico Madrid 2. Monaco...

READ MORE

Pointi 3 za Simba Kimenuka!

Sweetbert Lukonge | Championi Ijumaa | Habari SAKATA la beki wa Kagera Sugar, Mohamed Fakhi kudaiwa kucheza akiwa na kadi...

READ MORE

Serengeti Boys kuwavaa Gabon kesho

Ibrahim Mussa | Championi Ijumaa | Habari TIMU ya Taifa ya Vijana ya Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys,...

READ MORE

Coutinho Anasubiri Simu ya Yanga tu

Wilbert Molandi, Dar es Salaam | CHAMPIONI IJUMAA KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Yanga Mbrazili, Andrey Coutihno ambaye hivi sasa...

READ MORE

Banda: Dili la Sauzi Limetiki, Nasepa Zangu

STORI: Omary Mdose na Ibrahim Mussa | CHAMPIONI IJUMAA| DAR ES SALAAM BEKI wa Simba, Abdi Banda, kwa sasa yupo huru...

READ MORE

Juventus na Monaco Wazifuata Atletico na Real Madrid Nusu Fainali UEFA

Alianza Kylian Mbappe kucheka na nyavu za Dortmund akishuhudiwa kufunga mara 4 mfululizo katika michezo yake minne ya mwanzo katika...

READ MORE

Heineken: Tabiri Uibuke Mshindi Mechi ya Barcelona Vs Juventus

Yawezekana Barca akaaga mashindano leo, hebu tupe utabiri wako! Kumbuka kujipatia Heineken baridi ukiwa unacheki mechi hii

READ MORE

Kutana na Kijana Anayetafuna Chupa na Misumari

KIJANA mmoja aliyejitambulisha kwa jina la James John mkazi wa Mchikichini jijini Dar es Salaam ameonakana kuwashangaza watu wengi wa...

READ MORE

Yanga Wamwaga Mboga, Simba Kubinua Sahani na Bakuli

KLABU ya Simba imeitaka Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) mpaka kufikia...

READ MORE

Yanga Yamzuia Msuva Kumzungumzia Fakhi

Musa Mateja, Dar es Salaam, Championi Jumatano UONGOZI wa Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake, Clement Sanga, umewapiga ‘stop’ wachezaji...

READ MORE

Simba Kufunguka Kinachoendelea Katika Soka Nchini leo

Klabu ya Simba inapenda kuwaarifu waandishi wa habari, itakuwa na mkutano wake ‘MAALUM’ na wanahabari kesho saa tano na nusu...

READ MORE