×

Michezo

Azam FC Wamfuata Niyonzima Rwanda

UONGOZI wa Azam FC hivi karibuni unatarajia kukipeleka kikosi chao nchini Rwanda alipo kiungo Haruna Niyonzima kwa ajili ya kwenda...

READ MORE

Bongo Bahati Mbaya Kwenye Soka

LIGI za soka za Tanzania kwa sasa zimesimama, timu zinakaribia kuanza maandalizi ya msimu wa 2017/2018, wachezaji wengi wapo kwenye...

READ MORE

Kessy: Nitamficha Huyo Okwi Wenu, Mtamsahau

BEKI king’ang’anizi wa Yanga, Hassan Kessy, amesikia majigambo ya Simba tangu wamrejeshe kiungo mshambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi na kutamka: “Subirieni...

READ MORE

Kiungo Arudisha Fedha za Usajili Yanga

KIUNGO mpya wa Azam FC, Salmin Hoza aliyejiunga na timu hiyo hivi karibuni aki­tokea Mbao FC ya Mwanza, ameamua kumalizana...

READ MORE

Lwandamina Amtumia Ujumbe Mzito Ngoma

KOCHA Mkuu wa Yanga, George Lwandamina, ametuma ujumbe mzito ulioambatana na pongezi kwa Mzimbabwe, Donald Ngoma mara baada ya kupata...

READ MORE

Yanga Kuingia Mafichoni Julai 2

KIKOSI cha Yanga hivi karibuni kinatarajia kuingia kambini kuanza kujiandaa kwa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara ambapo kwa sasa...

READ MORE

Baada Ya Ngoma…Yanga Yatangaza Pigo Lingine

BAADA ya kufanikiwa kumbakisha mshambuliaji wao Mzimbabwe, Donald Ngoma uongozi wa Yanga umetangaza pigo lingine linakuja kwenye moja ya klabu...

READ MORE

Cristiano Ronaldo Apata Watoto Mapacha

Saa kadhaa baada ya kuiongoza Ureno katika mechi ya nusu fainali ya kombe la mashirikisho ambapo ilishindwa nchini Urusi, Cristiano...

READ MORE

Tetesi za Usajili Soka Ulaya Ijumaa Juni 30. 2017

Manchester City sasa wanaongoza katika mbio za kumsajili Alexis Sanchez, 28, baada ya Bayern Munich kujitoa kutokana na bei kubwa...

READ MORE

Tetesi za Usajili Man U, Arsenal, Liverpool, AC Millan, Man City, Chelsea, Liverpool

  NIMEKUWEKEA HAPA TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA Arsenal wameambiwa lazima walipe pauni milioni 57 ili kumsajili Alexandre Lacazette, 26,...

READ MORE

Taifa Stars Yatinga Robo Fainali Cosafa

Tanzania imefuzu kwa robo fainali ya mashindano ya Cosafa baada ya kulazimishwa sare 1-1 na Mauritius. Bao la Stars lilifungwa...

READ MORE

Tambwe Amwaga Wino Kuitumikia Yanga Miaka 2

  Mshambuliaji Amissi Tambwe amesaini mkataba wa miaka mwili wa kuendelea kuichezea Yanga. Uamuzi wa Tambwe kusaini mkataba huo ni...

READ MORE

Wakati Malinzi na Wenzake Wakisota Kortini… Usaili wa Wagombea TFF Waendelea

  IKIWA ni saa chache baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) kwafikisha kortini Kisutu, jijini...

READ MORE

Emmanuel Okwi Mfano Wa Watu Wenye Vipaji Vya Biashara

INGAWA kusomea muhimu lakini suala la biashara pia ni kipaji na mshambuliaji mpya tena wa Simba, Emmanuel Okwi anaweza kuwa...

READ MORE

Tetesi za Usajili Bongo, Chuji Ajiweka Sokoni

Chuji ajiweka sokoni KIUNGO wa zamani wa Yanga, Athumani Idd ‘Chuji’ amefunguka kuwa yupo tayari kujiunga na timu yoyote kufuatia...

READ MORE

Okwi Apaa Kimya Kimya Kwenda Uganda

BAADA ya kiungo mshambuliaji raia wa Uganda, Emmanuel Okwi kuingia kandarasi ya miaka miwili ya kuitumikia Simba, juzi Jumatatu asubuhi...

READ MORE

Dalali: Nataka Siku Moja Niwe Rais TFF

UKIWAZUNGUMZIA viongozi waliowahi kuongoza Simba kwa mafanikio makubwa, kamwe hautasita kumtaja mwenyekiti wa zamani wa Simba, mzee Hassan Dalali, maarufu hivi...

READ MORE

Tetesi za Usajili Bongo, Simba na Yanga

Ukimya Wa Simba Wampa Hofu BEKI wa kulia wa Simba raia wa DR Congo, Janvier Bokungu, amepoteza matumaini ya kuendelea...

READ MORE

Msuva Sasa Akubali Mshahara wa Sh Mil 9

LICHA ya kuwepo kwa taarifa za kiungo wa Yanga, Simon Msuva kukataa mshahara wa shilingi milioni tisa aliowekewa na Difaa...

READ MORE

Bossou Agomea Mkataba Yanga SC, Aachwa

KIKOSI cha Yanga kinazidi kupukutika kwa baadhi ya nyota wa timu hiyo wanaonekana kuondoka ambapo sasa beki mgumu, Vincent Bossou...

READ MORE

Selemani Matola Asaini Mwaka Lipuli, Ataka Vijana

KOCHA mpya wa Lipuli FC ya mkoani Iringa, Selemani Matola, ameeleza kuwa, tayari ameshaanguka wino wa kuitumikia Lipuli kwa mkataba...

READ MORE

VIDEO: Jonas Mkude Apewa Tuzo Mwanza

Tawi la timu ya soka ya Simba jijini Mwanza, Simba Mwanza Task Force imemkabidhi tuzo ya heshima nahodha wa timu...

READ MORE

Rais wa Tff Malinzi na Katibu Wake Watiwa Mbaroni na TAKUKURU

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wake, Selestine Mwesigwa wanashikirikia na Taasisi ya Kuzuia...

READ MORE

Ukweli Uongozi wa Manji Yanga Ulikuwa wa Mafanikio

MWANACHAMA wa Yanga, Yusuf Manji amekuwa ndani ya klabu hiyo kwa takribani miaka 13 akiwa katika sehemu mbalimbali. Kama mwanachama...

READ MORE

Breaking News: Ngoma Arejea Dar Usiku Huu Akitokea Zimbabwe

Mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe anayeichezea klabu ya Yanga, Donald Ngoma usiku huu ametua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

READ MORE

Humphrey Polepole Azindua Ukarabati Mkubwa Uwanja wa CCm Kirumba- Mwanza

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, amezindua rasmi ukarabati wa Uwanja wa Soka wa CCM Kirumba jijini...

READ MORE

Baba Amshangaa Msuva Kukataa Mshahara wa Mil. 9

SIKU chache baada ya kuibuka kwa taarifa kuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva amekataa kupokea mshahara wa Sh milioni...

READ MORE

Bossou Naye Atangaza Kusaini Simba

SIKU chache baada ya Haruna Niyonzima na Donald Ngoma kudaiwa kuondoka Yanga na kuwa mbioni kumalizana na Simba, beki kisiki...

READ MORE

Tambwe atua Dar kimyakimya kumalizana na Yanga SC

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe, amewasili nchini Ijumaa iliyopita kumalizana na viongozi wake hao kwa ajili ya...

READ MORE

Rasmi: Okwi Amesaini Mkataba Kujiunga na Simba

Emanuel Okwi amesaini mkataba wa miaka miwili (2) kujiunga na Simba kuanzia msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara pamoja...

READ MORE

Athumani Nyamlani Atangaza Kujitoa Kuwania Urais Tff

Makamu wa Rais wa zamani wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Athumani Nyamlani amejitoa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania...

READ MORE

Taifa Stars Yaanza Kwa Ushindi Cosafa

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo imeanza vema michuano ya Baraza la Vyama vya Soka la Nchi za...

READ MORE

Wanyama Apewa Mtaa Dar, Ashuhudia FC Kauzu Ya Chifu Wa Masela Ikiteketea

KIUNGO wa  Tottenham, Mkenya, Victor wa Nyama, amepewa heshima na serikali ya Wilaya Ubungo kwa kwa kuipa moja ya barabara...

READ MORE

Okwi Ametua Dar Kusaini Mkataba Simba

Hatimaye ametua Simba. Baada ya kutajwa kwa muda mrefu kwenye vyombo vya habari kama tetesi za kurejea tena mitaa ya...

READ MORE

Victor Wanyama Apewa Mtaa Ubungo – Dar

  VICTOR WANYAMA: Meya wa Manispaa ya Ubongo Boniface Jacob, amemtunuku mtaa, Kiungo wa Tottenham ya England Victor Wanyama raia...

READ MORE

Rais Fifa Giovanni Infantino Hakuwahi Kucheza Soka

Kimataifa (Fifa), Giovanni Infantino ni Sports Administrator, yaani mtaalamu wa utawala wa michezo. Infantino ambaye jina lake la utani ni...

READ MORE

Duh! Majimaji Kusajili Timu Nzima

KOCHA wa Majimaji FC ya Ruvuma, Kali Ongala ameibuka na kusema anahitaji kufanya usajili makini kwa ajili ya kukiboresha kikosi...

READ MORE

Msuva Akataa Mshahara wa Mil 9 Kwa Mwezi

OFA ya Simon Msuva kwenda Morocco imekamilika na klabu ya Difaa El Jajida kutoka nchini humo iko tayari kumwaga dola...

READ MORE

Ninja: Nampoteza Emmanuel Okwi Uwanjani

YANGA imemsajili beki wa kati Abdallah Haji Shaibu maarufu kama Ninja kutoka Klabu ya Taifa Jang’ombe ya visiwani Zanzibar, tayari...

READ MORE

Singano Apewa Mshahara Mnono Morocco

RAMADHANI Singano maarufu kama Messi ataondoka nchini wakati wowote kwenda nchini Morocco kumalizia mipango ya kujiunga na Klabu ya Difaa...

READ MORE