×

Michezo

Haya sasa, chongeni tena

Wachezaji wa Simba wakishangilia. Said Ally, Dar, Derick Lwasye, Mbeya MJINI kuna habari kubwa tatu katika soka la Bongo, kwanza...

READ MORE

Niyonzima awaeleza Wanyarwanda ilichokifuata Yanga

Kiungo nyota wa Yanga, Haruna Niyonzima. Nicodemus Jonas, Kigali KIUNGO nyota wa Yanga, Haruna Niyonzima, ametoa onyo kwa Wanyarwanda kwamba...

READ MORE

Pluijm apiga mkwara uwanja wa ndege Kigali

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm (kulia) akiongea na kocha msadizi,  Juma Mwambusi. Nicodemus Jonas, Kigali KOCHA Mkuu...

READ MORE

Man Utd, wachezea kichapo kwa Liverpool

Mchezaji wa Liverpool, Firmino (katikati) akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kushinda bao la pili dakika ya 76 kipindi cha...

READ MORE

Emmanuel Eboue atua Sunderland

Emmanuel Eboue akipozi na jezi ya  Sunderland. BEKI wa zamani wa Klabu ya Arsenal, Emmanuel Eboue, amejiunga na timu ya...

READ MORE

Mkutano Mkuu TFF kufanyika Machi 12-13 Tanga

Mkutano Mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) uliokuwa ufanyike mwezi Disemba mwaka jana sasa utafanyika...

READ MORE

Mkwasa atangaza 25 kuwavaa Chad

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Charles Boniface Mkwasa. Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya...

READ MORE

Wafungaji Ligi Kuu ya Vodacom (VPL)

1:  Tambwe Amissi 17 2:  Hamisi Kiiza 16 3:  Donald Dombo Ngoma 13 4:  Kipre Herman Tchetche 10 5:  Elias...

READ MORE

Simba yakimbilia jeshini

Kikosi cha Simba. Omary Mdose na Said Ally KIKOSI cha Simba jana asubuhi kilikuwa kikifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Boko...

READ MORE

Beki Azam ataka mkataba Yanga SC

BEKI wa kati wa Azam FC, Said Morad. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam BEKI wa kati wa Azam FC, Said Morad...

READ MORE

Lyanga: Tunashinda mechi zote zilizobaki

Danny Lyanga. Ibrahim Mussa na Omary Mdose BAADA ya wikiendi iliyopita Simba kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara,...

READ MORE

Mechi za Soka Ligi Kuu Vodacom (VPL) Leo

Michezo saba ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) inatarajiwa kuchezwa katikati ya wiki hii, kwa kesho kuchezwa mchezo mmoja,...

READ MORE

Donald Ngoma: Wawa, Mwantika walipania kutuzima

Said Ally, Dar es Salaam STRAIKA hatari wa Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma, ametamka kuwa katika michezo yao ya ligi ya...

READ MORE

Stewart atimkia Sauz na faili

Hans Mloli, Dar es Salaam AZAM FC inatarajia kuondoka nchini Jumatano ya keshokutwa kuelekea Afrika Kusini ‘Sauz’ kupambana na Bidvest...

READ MORE

Simba yaongoza Ligi Kuu Bara, Simba 2, Mbeya City 0

Mfungaji wa bao la kwanza la Simba, Danny Lyanga. Mshambuliaji wa Simba, Hamis Kiiza akidhibitiwa na mabeki wa Mbeya City....

READ MORE

Yanga, Azam hakuna mbabe Taifa

Wachezaji wa Yanga wakishangilia kwa pamoja. Mechi ya Yanga na Azam imemalizika kwa sare ya mabao 2-2 katika Uwanja wa...

READ MORE

Mwisho wao leo

HAKUNA sentesi nyingine zaidi ya ‘Mwisho wao leo’, kwani Yanga na Azam FC zinapambana leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa,...

READ MORE

Msuva, Tambwe sasa freshi Yanga

Amissi Tambwe SIMON Msuva, Amissi Tambwe na Salum Telela, wameipa matumaini Yanga kufanya vizuri katika mchezo wao wa leo dhidi...

READ MORE

Kamusoko amtia hasira Chuji

Wilbert Molandi, Dar es Salaam KIUNGO wa zamani wa Yanga, Athumani Idd ‘Chuji’ amesema anapatwa na hasira pale uwezo wake...

READ MORE

Kisa Simba, Kaseja aondolewa kikosini

Mwandishi Wetu, Morogoro KIPA Juma Kaseja hatoichezea Mbeya City dhidi ya Simba, kesho Jumapili katika mchezo wa Ligi Kuu Bara baada...

READ MORE

Wawa, Morad wafanya mazoezi bwawani wamzuie Donald Ngoma 

Wilbert Molandi, Dar es Salaam KATIKA kuhakikisha wanapunguza makali ya straika wa Yanga, Donald Ngoma, Azam FC iliwatenga mabeki wa...

READ MORE

Kiiza aandikiwa barua ya onyo kali Simba

Mshambuliaji wa Simba, Kiiza. Wilbert Molandi na Hans Mloli KATIKA kuhakikisha wanatengeneza nidhamu kwenye timu, uongozi wa Simba umeliagiza Benchi...

READ MORE

Tambwe, Ngoma wawekewa kikao Rwanda

Mshambuliaji wa Yanga Mrundi, Amissi Tambwe. Ibrahim Mussa, Dar es Salaam WAKATI Yanga ikitarajia kucheza na Azam FC, kesho Jumamosi...

READ MORE

Simba kushuka kijeshi, Kaseja azua hofu Mbeya City

Wachezaji wa Simba wakifanya yao. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam BAADA ya kuwa mafichoni kwa takriban wiki moja mkoani Morogoro,...

READ MORE

Yanga yabadili gia Zenji

Wachezaji wa timu ya Yanga wakiendelea na mazoezi. Suleiman Hassan, Pemba na Said Ally, Dar MCHEZO wa Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Arsenal wapigwa na Swansea Emirates 2-1

Wachezaji wa timu ya Arsenal wakiwa katika hekaheka za kuwania mpira na wachezaji wa Swansea City usiku wa kuamkia leo...

READ MORE

Kwa rekodi hizi Yanga kiboko yao

Mashabiki wa timu ya Yanga. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam KWA mara nyingine, Yanga wiki iliyopita ilifanikiwa kupenya hatua ya...

READ MORE

Yanga jeuri, yatua na pipa siku ya mechi na Azam

Wachezaji wa timu ya Yanga wakifanya mazoezi. Hans Mloli, Dar es Salaam YANGA jeuri mno! Ikiwa kambini kisiwani Pemba imeamua...

READ MORE

Kerr amkingia kifua Isihaka

Muingereza, Dylan Kerr. Omary Mdose, Dar es Salaam BAADA ya nahodha msaidizi wa Simba, Hassan Isihaka kusimamishwa na uongozi wa...

READ MORE

Tyga ajitetea kutoka na Kylie mapema

Staa wa Hip Hop Marekani, Tyga. LOS ANGELES, Marekani BAADA ya maswali mengi kwa staa wa Hip Hop Marekani, Tyga...

READ MORE

Yanga yamrudisha Niyonzima Rwanda

Kiungo wake Haruna Niyonzima. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam YANGA itamrudisha Rwanda kiungo wake Haruna Niyonzima kwenda kucheza mchezo wa...

READ MORE

Manji afanya kufuru ya bilioni nne

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji. Wandishi Wetu, Dar es Salaam WAKATI Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) likiwa katika harakati za...

READ MORE

Azam: Simba inaweza kuwa bingwa

Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam PAMOJA na kudondosha pointi tano kati ya sita kwenye...

READ MORE

Kapombe mchezaji bora mwezi Januari

Beki wa Azam FC, Shomari Kapombe. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam BEKI wa Azam FC, Shomari Kapombe, ameshinda Tuzo ya...

READ MORE

Kessy aigomea Simba, ataka mil 60

Beki wa Simba, Hassan Ramadhan Kessy. Khadija Mngwai, Dar es Salaam BEKI wa Simba, Hassan Ramadhan Kessy, amegomea mkataba wa...

READ MORE

Picha: Arsenal hoi kwa Man U, yapigwa 3-2

Manchester United wameibuka kidedea kwa kuichapa Arsenal mabao 3-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England iliyopigwa Uwanja wa Old...

READ MORE

Vikosi vya Man U na Arsenal leo

Kikosi cha Manchester United leo: De Gea; Varela, Carrick, Blind, Rojo; Schneiderlin, Herrera; Lingard, Mata, Memphis; Rashford. Benchi: Romero, McNair,...

READ MORE

Picha 15: Cheka alivyomkalisha Mserbia

Bondia Francis Cheka ‘SMG’ jana usiku alifanikiwa kuiandikia Tanzania historia nyingine mpya baada ya kumchapa Muingereza, Geard Ajetovic katika pambano...

READ MORE

Ni Man U au Arsenal leo?

MASHABIKI wa soka duniani wanalisubiri kwa hamu pambano la leo la Ligi Kuu ya England kati ya Manchester United na...

READ MORE

JK azindua rasmi ligi ya mpira wa kikapu

 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  DK. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Ligi ya Mpira wa kikapu ya vijana...

READ MORE