×

Michezo

Unakosaje Mkwanja Jumamosi Ya Leo?

Wikendi ndio hii imefika jamani na kule meridianbet mambo yamekaa sawa yani ODDS zimenyooka kama rula vile, ni wewe sasa...

READ MORE

Mechi za Ligi Kuu ya NBC Wikiendi Hii Zinakupa Bonasi Kubwa

Wakati ambao sakata la Prince Mpumelelo Dube likipamba moto pale viunga vya Azam Complex, pale Msimbazi mambo sio mambo, Jangwani...

READ MORE

Michuano Ya All African Game 2023 Yaanza Kutimua Vumbi Nchini Ghana – Picha

Mashindano ya Afrika (All African Games 2023) yamezinduliwa rasmi Machi 8, 2024 Jijini Accra, Ghana yakiongozwa na Rais wa nchi...

READ MORE

Anthony Joshua Ampiga kwa Knock Out (K.O) Francis Ngannou – Video

Bingwa wa zamani wa uzito wa juu, Anthony Joshua amefanikiwa kumpiga kwa Knock Out (K.O) Francis Ngannou bingwa wa zamani...

READ MORE

Alex Ferguson: Beckham Alibadilika Baada Ya Kuoa Msanii

KOCHA wa zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson ameelezea mabadiliko ya aliyekuwa kiungo wake David Beckham kabla na baada...

READ MORE

Gamondi: Namungo ni Wagumu, Lakini Tunataka Alama Tatu

Kuelekea mchezo wa leo dhidi ya Namungo, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema maandalizi yameenda vizuri malengo makubwa na...

READ MORE

Ahmed Ally: Kipigo cha Tanzania Prisons Kisituvuruge Simba

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema kuwa mashabiki na wanachama wa klabu hiyo wanapaswa...

READ MORE

Nyota Madrid Atumia Sh Mil 13 Kumtoa Mpenzi wake Big Brother

NYOTA wa zamani wa Real Madrid, Jesé Rodríguez Ruiz ‘Jese’, anaripotiwa kutumia euro 5000 (Sh mil 13.7) katika kutuma ujumbe...

READ MORE

Dube: Viongozi wa Azam hufurahia mafanikio ya timu zingine badala ya timu yao!

Sakata la mshambuliaji Prince Dube limeingia sura mpya baada ya nyota huyo raia wa Zimbabwe kudai ndani ya klabu ya...

READ MORE

Tusua Mkwanja na Meridianbet Alhamisi ya Leo

Alhamisi ya Leo ni kwaajili ya mechi za Europa ambapo timu zitashuka dimbani hii leo kusaka pointi tatu muhimu kwenye...

READ MORE

Safiri Sayari ya Planet 67 Huku Ukishinda na Kasino Hii

  Anza safari kuelekea sayari ya mbali Zaidi nje ya ulimwengu huu kushuhudia maajabu ya nje ya dunia, safari hii...

READ MORE

Anthony Joshua: Nitamchakaza Ngannou kwa KO

Bondia Anthony Joshua ametamba kumpiga mpinzani wake Francis Ngannou kwa ‘KO’ kwenye pambano la uzito wa juu litakalofanyika Saudi Arabia,...

READ MORE

Benchikha Aondoka Simba, Baada ya Kipigo cha Prisons – Video

Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha ameondoka leo Jumatano, Februari 7, 2024 kwenda nchini kwao Algeria kushiriki kozi kozi...

READ MORE

Prince Dube Atangaza Kuondoka Azam, Awaaga Wachezaji makocha na mashabiki

Mshambuliaji Prince Dube ametangaza kuondoka Azam FC na kuhitimisha miaka minne ya utumishi wake klabuni hapo. “Ninapoendelea na sura mpya...

READ MORE

Simba Wachapwa Mabao 2-1 na Tanzania Prisons Morogoro

SIMBA wakitumia Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kama wa nyumbani wamechapwa mabao 2-1 na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi...

READ MORE

Mchezo Mpya wa Super Heli Kasino Wakubali na Mamia ya Watanzania

Haya Haya ni takribani wiki imeisha tangu kutambulishwa kwa mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni pale Meridianbet, unaitwa Super Heli...

READ MORE

Mangungu: Simba Haijauzwa, Haitouzwa, Muulizeni Yeye Mo Dewji

Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Ally Mangungu amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni hivi karibuni kuwa klabu hiyo imenunuliwa na mwekezaji...

READ MORE

Beti na Meridianbet Mechi za UEFA Leo

  Leo hii kipute cha Ligi ya mabingwa barani Ulaya kinaendelea kwa michezo ya marudiano ambapo kuna timu zinataka kupindua...

READ MORE

Mabosi Azam FC wampa Dube Masharti Mawili Asepe

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa hauna tatizo na mchezaji wao Prince Dube ambaye anahitaji kuondoka ni machaguo mawili...

READ MORE

Chasambi amtaja aliye nyuma ya bao lake Ligi ya Mabingwa Afrika

LADACK Chasambi nyota wa Simba ameweka wazi kuwa maelekezo aliyopewa na Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha ni sababu yay eye kufunga...

READ MORE

Je Wajua Arsenal ya Arteta ni ya Moto?

Mabingwa ODDS KUBWA na ubashiri Tanzania meridianbet tutamuangazia Mikel Arteta na Arsenal yake ambao wanapambana kurejesha utawala wa Arsene Wenger...

READ MORE

Meridianbet Kasino Ujio Mpya wa Hot Joker Fruits

Kasino ya Hot Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ndani ya kasino ya mtandaoni Meridianbet yenye nguzo tano zilizopangwa...

READ MORE

WAMBA AJIPIGIA MILIONI TANO MERIDIANBET

Kubashiri bila bando kupitia Meridianbet wengi wakiitambua kama USSD imefanikiwa kutoa mshindi ambapo Mwamba ameibuka na kufanikiwa kushinda kiasi cha...

READ MORE

Weka Jamvi na Utusue na Meridianbet Leo

Jumamosi za leo ni za kibabe sana ambapo mechi kibao zitapigwa katika ligi mbalimbali na tayari meridianbet wamekuwekea ODDS za...

READ MORE

Yanga Wamaliza Nafasi ya pili hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Yanga wamemaliza wakiwa nafasi ya pili huku Mabingwa watetezi, Al Ahly wakimaliza kileleni mwa kundi D kwenye hatua ya makundi...

READ MORE

Piga Mkwanja na Meridianbet Hapa

Mwezi mpya umeanza hii leo ambao ni mwezi Machi na meridianbet wanakwambia leo hii piga pesa za maana kwani ODDS...

READ MORE

Al Ahly Dhidi Ya Yanga Ni Usiku Wa Kisasi

Usiku wa ligi ya mabingwa Afrika unaendelea tena Ijumaa ya leo ambapo kutakua na mchezo wa kisasi kati ya klabu...

READ MORE

Mo Athibitisha Rasmi Kuinunua Klabu ya Simba Miaka 5 iliyopita – Video

BILIONEA Mohamed Dewji Mo amethibitisha rasmi kuwa Klabu ya Simba aliinunua miaka 5 iliyopita na ndio kitu cha gharama kwake...

READ MORE

Eto’o Atangaza Rigobert Song, Mkataba Wake Umetamatika Rasmi

Rais wa Shirikisho la soka la Cameroon (Fecafoot), Samuel Eto’o ametangaza kuwa Rigobert Song, mkataba wake umetamatika rasmi. Uvumi wa...

READ MORE

Shabiki Simba: Kwa Yanga hii, TFF watapata tabu sana msimu huu

  Shabiki maarufu wa Klabu ya Simba, anayefahamika kwa jina la Mchome amesema kuwa msimu huu Shirikisho la Soka Tanzania...

READ MORE

Mayele aache mdomo, bila yanga hatoboi – Shabiki Simba

Shabiki maarufu wa Klabu ya Simba, anayefahamika kwa jina la Mchome amesema kuwa aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele aache...

READ MORE

Kigogo Simba: Naiona Yanga Fainali ya CAFCL

Mwenyekiti wa zamani wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage amesema kuwa watani zao, Klabu ya Yanga wanapaswa kupongezwa kutokana...

READ MORE

Wydad yatuma makachero kuifuatilia Simba Kwa Mkapa

Taarifa kutoka Morocco zinasema kuwa, Klabu ya soka ya Wydad Athletic itatuma wawakilishi nchini Tanzania ili kufuatilia kwa karibu mchezo...

READ MORE

Ally Kamwe amjibu Ahmed Ally; Mjinga mpe cheo

Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe amejibu kuhusu Afisa habari wa Simba Ahmed Ally kusema kuwa kufuzu kwa Yanga wa...

READ MORE

Exclusive: Pacome aumia kabla ya kuwavaa Waarabu, Avic Town kama msiba!

Imefahamika kuwa, kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Yanga raia wa Ivory Coast, Pacome Zouzoua aliumia mazoezini siku ya Ijumaa ikiwa...

READ MORE

Simba: Machi 2 tunakwenda kuandika historia nyingine

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally amesema, hawajawahi kushindwa mechi za kuamua hatma yao kwenda Robo Fainali....

READ MORE

Ahmed Ally Amshangaa Kamwe Kuzimia Kisa Goli 4 – ”Simba Tushamfunga Mtu Goli 7” – Video

Msemaji wa Simba Sc Ahmed Ally ametupa jiwe kichakani kwa kudai kuwa mara ya mwisho Simba ilifuzu robo fainali mechi...

READ MORE

Tigo Kili International Half Marathon Ilivyofana Mjini Moshi Leo

Kilimanjaro, 25 Februari 2024: Mbio za Tigo Kili International Marathon Km 21, leo imetimua vumbi kuanzia kwenye Uwanja wa Chuo...

READ MORE

Meridianbet Yatoa Msaada Kwa Zahanati Ya Kijitonyama

  Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya leo imesambaza upendo maeneo ya Kijtonyama jijini Dar-es-Salaam, Kwani imefika katika Zahanati...

READ MORE

Siku za Ushindi ni Leo, Beti na Meridianbet Sasa

  Ikiwa bado unajiuliza ni wapi ufanya ubashiri wa mechi zako na ujikusanyie maokoto ya maana. Leo Arsenal, City, United,...

READ MORE