×

Michezo

Ali Mayai Akoshwa na Ubora wa Mashindano na Vipaji

Mashindano ya Kombe la Mkenda 2023 yamehitimishwa Juni 18, 2023 Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro mshindi akiondoka na Kitita cha Shilingi...

READ MORE

Simba Yathibitisha kufikia Makubaliano ya Kuachana na Viktor Akpan

Klabu ya Simba imethibitisha kufikia makubaliano ya kuachana na kiungo Viktor Akpan aliyesajiliwa kutoka Coastal Union msimu uliopita. Kupitia taarifa...

READ MORE

Kiberenge Cha Ivory Coast Mlangoni Yanga

IMEBAINIKA kuwa Yanga wapo katika mazungumzo ya kumsajili winga raia wa Ivory Coast, Aubin Kramo Kouame ambaye kwa sasa anakipiga...

READ MORE

Rais wa Yanga Awatangazia Wajumbe Mkutano Mkuu Kufanyika Juni 24, Dar

Rais wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Ally Said amewatangazia wajumbe wote wa Mkutano Mkuu kuwa kutakua na Mkutano Mkuu...

READ MORE

Mrithi wa Joash Onyango Kimeeleweka Simba Ahmed Ally Afunguka

TAARIFA zinasema kuwa Simba imeanza mazungumzo rasmi na Klabu ya Cotton Sports ya Cameroon kwa ajili ya kumsajili beki wa...

READ MORE

Kigogo Simba Aichimba Mkwara Mzito Yanga

HUKU wakiendelea na ukarabati mkubwa wa kikosi chao kupitia usajili, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah ‘Try...

READ MORE

Kocha Mfaransa Julien Chevalier Ndani Ya Nyumba Yanga

SIKU chache baada ya Yanga kutangaza kufikia makubaliano ya kuachana na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, imebainika kwamba, kila kukicha idadi...

READ MORE

Yanga: Tumepokea Ofa Nyingi Za Mayele Tutafanya Naye Mazungumzo

UONGOZI wa Yanga, umeweka wazi kuwa, umepokea ofa nyingi kutoka timu mbalimbali zinazohitaji huduma ya nyota wao, Fiston Mayele raia...

READ MORE

Fagio La Robertinho, Vilio Vitatawala Simba, Ahmed Ally Azungumza na Championi

MABOSI wa Simba wamepanga kuitumia siku ya Jumatatu ijayo kwa ajili ya kutangaza mastaa wao ambao watapewa mkono wa kwaheri...

READ MORE

Luis Jose Miquissone Msimbazi Tena Viongozi Wapitisha jina Lake

IMEBAINIKA kuwa, uongozi wa Simba umelipitisha jina la Luis Jose Miquissone kuwa usajili wao mkubwa msimu ujao kupitia dirisha kubwa...

READ MORE

Kigogo Yanga Akabidhiwa Faili La Straika Wa Caf, Atengewa Dau Nono

SASA rasmi uongozi wa Yanga umempa kazi Mtendaji Mkuu (CEO) wa timu hiyo, Mzambia Andrew Ntine ya kuhakikisha anafanikisha usajili...

READ MORE

Jembe Lingine Lavunja Mkataba Simba Wafikia Makubaliano

UONGOZI wa Simba umefikia makubaliano mazuri ya kuvunja mkataba na beki wake wa kati, Joash Onyango ambaye raia wa nchini...

READ MORE

Kocha Mpya Aanza Na Vigingi Viwili Yanga Aandaliwa Malengo

HUKU wakiwa kwenye mchakato wa kupitia wasifu (CV) za makocha ambao wametuma maombi ya kuifundisha Yanga, uongozi wa timu hiyo...

READ MORE

Yannick Banga Naye Huyooo, Rafiki Yake Afunguka Aomba Kuondoka Yanga

BAADA ya Kocha Nassredine Nabi kuondoka baada ya kumaliza mkataba wake Yanga, sasa ni zamu ya kiungo mkabaji, Yannick Bangala...

READ MORE

Kaze Aigomea Yanga Akataa Kusaini Mkataba Mpya Atoa Masharti

KOCHA Msaidizi wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze amekataa kusaini mkataba mpya wa timu hiyo, akitoa masharti magumu kwa uongozi ulioanza...

READ MORE

Simba Yatangaza Mdhamini Mpya, Mkwanja Mnono Kuvunwa – Video

UONGOZI wa Simba Juni, 16 2023 umemtambulisha mdhamini mpya ambaye atasimamia masuala ya utengenezaji wa jezi za timu hiyo ambayo...

READ MORE

Bilioni 2.8 Zampeleka Mayele Uarabuni Rais wa Yanga, Injinia Hersi Afunguka

MABINGWA mara mbili mfululizo wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC, wanaweza kupata wakati mgumu kukataa ofa ya Rand milioni 22...

READ MORE

Panga Zito Lapita Simba Waachana na Makocha wao Watatu

KAZI imeanza ndivyo unavyoweza kusema kuelezea kile ambacho kinaendelea ndani ya kikosi cha Simba hii ni baada ya jana Alhamisi...

READ MORE

Beki Simba Avunja Mkataba, Apanda Ndege Kurejea nyumbani Kwao

BEKI mwili nyumba wa Simba, Mohammed Ouattara, ameona isiwe shida na kufikia makubaliano mazuri na klabu hiyo, ya kuvunja mkataba...

READ MORE

Mabosi Simba Washtuka, Wamaliza Shoo Kimyakimya

HUKU ikiwa inasubiriwa tarehe rasmi ya kufunguliwa kwa dirisha la kubwa usajili hapa nchini kwa ajili ya msimu ujao wa...

READ MORE

Rais wa Yanga, Injinia Hersi Atangaza Vita Mpya Ya Usajili

RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said, amepiga mkwara mzito kuhusu masuala ya usajili akiweka wazi kuwa jina lolote atakalopewa atafanyia...

READ MORE

Simba Yamficha Mshambuliaji wa Rayon Sports Essomba Willy Onana, Dar

IMEELEZWA kuwa, kiungo mshambuliaji wa Rayon Sports, Leandre Essomba Willy Onana ambaye raia wa Cameroon, amekuja ar es Salaam kwa...

READ MORE

Ongeza Maokoto na Sloti ya Wild Icy Fruits Kutoka Meridianbet

Matikiti na machungwa yanaongeza utamu wa sloti hii ya kasino ya mtandaoni, kengele za dhahabu na mgando wa lucky 7...

READ MORE

Bosi wa Manchester City Pep Guardiola Awaonya Real Madrid

BOSI wa Manchester City, Pep Guardiola amewaonya Real Madrid kuwa makini kwani ameanza kuwafukuzia katika kutwaa mataji ya UEFA. Hii...

READ MORE

Simba Yawapora Yanga Kocha Wakubaliana Nae Kila Kitu

INAELEZWA kuwa, uongozi wa Simba umefikia makubaliano ya kumrudisha aliyekuwa kocha wa makipa wa timu hiyo, Mbrazil, Milton Nienov ambaye...

READ MORE

Simba Yaifunika Yanga Kwenye Idadi ya Hat trick Ligi Kuu Bara 2022/23

MASTAA wa Simba wamewafunika watani zao wa jadi Yanga kwenye idadi ya hat trick ambazo wamefunga ndani ya za Ligi...

READ MORE

Paris St-Germain Yajiandaa Kumuuza Mshambuliaji Wao Kylian Mbappe

Paris St-Germain iko tayari kumuuza Kylian Mbappe msimu huu wa joto badala ya hatari ya kumpoteza bila malipo katika muda...

READ MORE

Nabi Aitega Azam leo Fainali Shirikisho Kwenye Dimba la Mkwakwani Tanga

KUELEKEA mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports dhidi ya Azam FC utakaopigwa leo Jumatatu kwenye Dimba...

READ MORE

Kishindo Kinakuja Simba Yashuhudia Yanga Wakisepa na Taji la Ligi Kuu

  UONGOZI wa Simba, umeweka wazi kuwa, kishindo kinakuja ndani ya Bongo kutokana na mipango inayoandaliwa kwenye usajili wa timu...

READ MORE

Injinia Hersi Atoa Kauli ya Kibabe Aahidi Ubingwa Wa 30 Yanga

UNAAMBIWA baada ya Yanga SC, kutwaa ubingwa wa 29 ndani ya Ligi Kuu Bara, tayari rais wa klabu hiyo, Injinia...

READ MORE

Yanga Yawatambia Simba Wasimamisha Jiji, Mayele, Hersi Watetema – (Picha +Video)

MABINGWA wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, jana Jumamosi walifanya gwaride la kusherehekea ubingwa wao wa 29...

READ MORE

Benki Ya NBC Yakabidhi Kombe La Ubingwa Wa Ligi Kuu Kwa Yanga

Mbeya Juni 9, 2023: Mdhamini mkuu wa ligi ya NBC, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo imekabidhi kombe la...

READ MORE

Sloti ya God of Coins Chimbo la Madini ya Pesa Kutoka Meridianbet

Wakati ambao unajiuliza ufanye nini ili bajeti zako ziende sawa, ndio wakati ambao wenzako wanajipigia hela kutoka kasino ya mtandaoni...

READ MORE

Yanga Yamfuata Mrithi Wa Mayele Fabrice Ngoma Kutoka Al Hilal

MARA baada ya Yanga kufikia hatua nzuri ya kumsajili kiungo Fabrice Ngoma kutoka Al Hilal, imebainika kwamba klabu hiyo imeanza...

READ MORE

Saidi Ntibazokiza ‘Saido’ Amuwekea Mtego Mayele Ligi Kuu

KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, Mrundi, Saidi Ntibazokiza ‘Saido’ amesema hafikirii Tuzo ya Ufungaji Bora wa Ligi Kuu Bara msimu huu,...

READ MORE

Hamtaamini Luis Miquissone Huyooo Anaenda Azam FC Simba Yatajwa

AZAM FC imedhamiria kufanya makubwa katika msimu ujao, ni baada ya kukubali kutoa kitita cha dola 300,000 (zaidi ya Sh...

READ MORE

Feisal Salum Amwaga Wino Azam FC Kuvaa Jezi Namna 6 – Picha

Baada ya klabu ya Azam kumsajili kiungo Feisal Salum kutoka Young Africans SC kwa mkataba wa miaka mitatu, atavaa jezi...

READ MORE

Kasino Inalipa Zaidi sloti ya Pirates Power Usipime

Michezo ya kubeti siku za hivi karibun umekuwa ni kitega uchumi, kwakuwa watu wengi wanatumia njia zote za halali kusaka...

READ MORE

Breaking: Yanga Yatangaza Kuachana na Feisal Salum Yamuuza Kwa Azam FC

Klabu ya Yanga imefikia makubaliano ya kuachana na nyota wake Feisal Salum ‘Fei Toto’ baada ya kukaa katika mgogoro wa...

READ MORE

Simba: Hiki Chuma Kinachokuja Ni Balaa Zaidi ya Augustine Okrah

BAADA ya kuachana na winga wao wa kimataifa wa Ghana, Augustine Okrah, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed...

READ MORE