×

Michezo

Mshahara wa Sawadogo Simba Unaweza Kuwalipa Wachezaji Watatu Aina ya Feisal

UMESIKIA hii, unaambiwa kiungo mpya wa Simba raia wa Burkina Faso, Hamed Ismael Sawadogo, mshahara wake ndani ya kikosi hicho...

READ MORE

Ihefu Yawatambulisha Nelson Okwa na Victor Ackpan Kutoka Simba

NYOTA Nelson Okwa ambaye ni mali ya Simba kaibuka ndani ya kikosi cha Ihefu chenye maskani yake Mbeya, nyanda za...

READ MORE

Wiki hii ni Ushindi tu Meridianbet kwa Odds Bomba, AC Milan dhidi ya Inter Milan Kitawaka!

Ukiachana na burudani za soka ulaya, utamu mwingine utakuwa kwenye Milan Derby kati ya AC Milan dhidi ya Inter Milan...

READ MORE

Sifa 5 Kali za Beki Mpya Yanga Mamadou Doumbia Kitawaka Balaa

YANGA wamelamba dume kwelikweli baada ya kumalizana na beki wa kimataifa raia wa Mali, Mamadou Doumbia kwa kuwa nyota huyo...

READ MORE

Simba Yamtabulisha Sawadogo Kiungo Mkabaji raia wa Burkina Faso – Video

ISMAEL Sawadogo kiungo mkabaji raia wa Burkina Faso ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Simba. Ni raia wa Burkina Faso...

READ MORE

Kenya Yawasimamisha Kazi Wachezaji 16 Na Makocha Kwa Kupanga Matokeo

Shirikisho la soka nchini Kenya limewasimamisha kazi wachezaji 14 na makocha wawili kwa tuhuma za upangaji matokeo baada ya kupokea...

READ MORE

Jishindie Mihela Na Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet!

Mchezo wa Blackjack Live        Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakuletea mchezo bomba wa Blackjack Live unaopatikana mubashara ukiwa umetengenezwa na...

READ MORE

Kiungo Ataja Sababu Za Kugomea Mkataba wa Simba Atua Singida Big Stars

BAADA ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Singida Big Stars, Kelvin Nashoni ameibuka na kutaja sababu ya kutosaini Simba....

READ MORE

Odds Nono Kwenye Dabi Za Kibabe Epl & Serie A! Bashiri Popote, Wakati Wowote!

Hii ni wiki ya washindi kama ukiichagua Meridiabet. Odds nono na machaguo kedekede yanapatikana huku! Zaidi ya michezo 1000 kuchezwa...

READ MORE

Morocco Yajiondoa Kwenye Michuano Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani CHAN 2022

Shirikisho la Soka la Kifalme la Morocco (FRMF) limetangaza kuwa Morocco imejiondoa kwenye michuano kombe la mataifa ya Afrika kwa...

READ MORE

Simba: Milioni 250 Zamshusha Kiungo wa TP Mazembe, Zemanga Soze

TAARIFA kutoka DR Congo, zinasema kuwa, Simba imetumia zaidi ya shilingi milioni 250 kwa ajili ya kukamilisha dili la kiungo...

READ MORE

Yanga Yatangaza Kumuuza Fei Toto Utaratibu Ukifuatwa kwa Pande Zote

UONGOZI wa Yanga, umeweka bayana kuwa, wapo tayari kumuuza kiungo wao, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na mchezaji mwingine yeyote kwenye...

READ MORE

Unapenda Hadithi za Kale, Cheza Sloti ya God of Coins na Ushinde!

Meridianbet wakishirikiana na Expanse Studio wanafanya wepesi katika mwezi huu wenye mambo mengi wakikuletea Sloti mpya ya God of Coins...

READ MORE

Musonda, Beki Wa Kazi Wafunga Usajili Yanga, Ali Kamwe Aweka Wazi – Video

WAKATI mabosi wa Yanga wakimalizana na mshambuliaji wa Power Dynamo ya Zambia, Kennedy Musonda uongozi wa timu hiyo upo katika...

READ MORE

Simba Yapanga Mikakati Ya Ubingwa Afrika Wakutana na Mohammed Dewji Dubai

RAIS wa heshima wa Klabu ya Simba Mohammed Dewji amezungumza na wachezaji pamoja na benchi la ufundi na viongozi walioongozana...

READ MORE

Fei Toto Kufungiwa na TFF Ikibainika Azam FC Wamemshawishi Kuvunja Mkataba

MWENYEKITI wa Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Said Sudi amesema ikibainika Azam...

READ MORE

Odds Kubwa Meridianbet Wiki Hii Epl, Coppa Italia, Super Cup

Wiki hii mechi nyingi ni za EFL, Coppa Italia, Spanish Super Cup lakini pia Ligue 1 itaendelea na michezo kadhaa...

READ MORE

Bondia Shaban Kaoneka Achangiwa Shilingi Milioni Moja na Shabiki wa Mandonga -Video

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Shaban Kaoneka leo ameweza kuchangiwa kiasi cha Shilingi milioni moja na mmoja kati ya...

READ MORE

Marcus Rashford Awajibu Kwa Vitendo Mashabiki kwa sasa Ndiye Shujaa Man United

MWANZONI mwa msimu huu, Marcus Rashford hakuwa kwenye kiwango kizuri, huku akifanikiwa kucheza mechi sita mfululuzo na kufunga mabao matatu,...

READ MORE

Mshambuliaji wa Singida Francis Kazadi Kasengu Awaita Yanga Mezani

MSHAMBULIAJI wa Singida Big Stars, Francis Kazadi Kasengu, kwa mara ya kwanza ameweka wazi ishu ya Yanga kumuhitaji, huku akibainisha...

READ MORE

TFF Yamruhusu Fei Toto kwenda CAS, Mwanasheria wake Afunguka

  KAMATI ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imetoa ruhusa kwa kiungo wa Yanga,...

READ MORE

Kocha Mpya Simba Roberto Oliviera ‘Robertinho’ Atoa Siku 10 Za Kuwaua Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazil Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amewaambia mabosi wa timu hiyo, kuwa siku 10 zinamtosha kukisuka na kukiandaa...

READ MORE

Kubeti na Kitochi: Beti Bila bando Meridianbet-USSD Piga *149*10# BURE!

Ushindi unaendelea ukibeti na Meridianbet USSD Piga *149*10# BURE kutengeneza mkeka wako usipokuwa na Intaneti mahali popote Tanzania. Nafasi nyingine...

READ MORE

Usajili wa Yanga Kuitikisa Nchi Dirisha Dogo, Ally Kamwe Afunguka Kibabe

OFISA Habari wa Yanga, Ally Kamwe, amefunguka kwamba, kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 15, mwaka huu, watatikisa...

READ MORE

Simba Kambi Ya Kishua Dubai, Kocha Mbrazil Asuka Kikosi Kazi, Okwa na Akpan Waachwa

KIKOSI cha Simba, jana Jumamosi kiliondoka nchini kishua kwenda Dubai kwa ajili ya kambi ya wiki moja kujiandaa na mashindano...

READ MORE

Siku Hizi Ukijisajili Meridianbet Ukaweka Pesa Unashinda Bonasi Kubwa

Ofa za Meridianbet zinaendelea kutaradadi katika kila kona, ofa baada ya ofa, promosheni baada ya promosheni katika mwezi wenye mambo...

READ MORE

TFF: Fei Toto Bado ni Mchezaji wa Yanga kwa Mujibu wa Mkataba

    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeamua kuwa Feisal...

READ MORE

Hii ni Yako Mwamba wa Kubashiri, Meridianbet Wameongeza Odds Zao

EPL itasimama kupisha michuano ya FA ambayo timu za Uingereza zitakutana katika mbio za kumtafuta bingwa, huku Ligi kadhaa zikiendelea...

READ MORE

Clatous Chama na Saidi Ntibanzokiza Waonywa Ujio wa Kocha Mpya

KOCHA wa zamani wa Sports Club Villa ya Uganda, Edward Kaziba amewaonya wachezaji wa Simba wakiwemo viungo wa ushambuliaji Mzambia,...

READ MORE

Kimenuka! Mawakili Wa Morrison Kumtetea Feisal Salum ‘Fei Toto’ – Video

KIMENUKA! ndivyo unavyoweza kusema kuhusu sakata la mkataba wa kiungo, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na uongozi wa Yanga, ambapo leo...

READ MORE

Chelsea Vs Man City… Ubabe Ubabe Tu leo Premier League Uwanja wa Darajani

VITA kali leo Alhamisi itakuwa pale darajani ambapo miamba miwili ya soka itavaana kila mmoja akiwa na machungu yake baada...

READ MORE

Mashine Nyingine Zinakuja Yanga Baada ya Usajili wa Mudathir Yahya

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa baada ya kufanikisha usajili wa Mudathir Yahya na kutambulishwa rasmi, bado kuna mashine nyingine...

READ MORE

Sloti ya Expanse Kasino na Meridianbet Ushindi Mkononi mwako!!

Mwezi Januari ni maarufu sana kuwa ni mwezi dume, una mambo mengi mara ulipe ada, unadaiwa kodi ya nyumba, biashara...

READ MORE

Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Kalala Mayele awatikisa Mastaa Ulaya

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Kalala Mayele amewatikisa baadhi ya wachezaji wa DR Congo ambao wanakipiga katika ligi mbalimbali barani Ulaya...

READ MORE

Wiki ya wapenda soka, Odds Nono kwa mechi zote Unazipata Meridiabet

Hii ni wiki ya Copa del Rey, EPL, SERIE A, mechi kubwa Zaidi ni usiku wa Alhamis pale ambapo Chelsea...

READ MORE

Simba Yavuliwa Ubingwa wa Mapinduzi Cup kwa Kipigo cha Mlandege

Kikosi cha Simba jana kimeanza Michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kupoteza baada ya kufungwa bao moja dhidi ya Mlandege...

READ MORE

Cesar Manzoki Ndani Ya Nyumba Kutua Nchini Kukamilisha Usajili Simba

IMEFAHAMIKA kuwa, mshambuliaji wa Dalian Pro ya China, Cesar Manzoki raia wa Afrika ya Kati, anatarajiwa kuwasili Tanzania wiki hii...

READ MORE

Yanga Yamshitaki Fei Toto Kwenye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Aitwa Kujieleza

Klabu ya Yanga, imemburuza mchezaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwenye Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF,  kwa...

READ MORE

Simba Yamtambulisha Kocha Mpya Raia wa Brazil Akitokea Vipers (Picha +Video)

Simba leo Januari 3, 2023 imemtangaza rasmi kocha wake mpya, Roberto Oliveira (69) kama kocha mkuu mpya klabuni hapo baada...

READ MORE

CAF Yampasua Kichwa Nabi Yanga, Atoa Tamko Kuelekea Kombe la Mapinduzi

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amefichua kuwa, licha ya ushiriki wao katika Kombe la Mapinduzi, lakini mipango na mikakati...

READ MORE