×

Michezo

Live: Nabi Out Yanga, Mgunda Azaliwa Upya, Mshindi Kujulikana | Krosi Dongo

 Karibu kutazama kipindi cha KROSI DONGO upate habari zote za michezo zenye uhakika zaidi. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL...

READ MORE

Kisa Yanga, Klabu ya Simba Kukumbwa na Adhabu Kutoka TFF

KLABU ya Simba SC inasubiri adhabu kutoka katika Bodi ya Ligi kwa sababu ya kufikisha kadi za njano tano (5)...

READ MORE

Yanga Wamaliza Kazi Mapema katika Uwanja wa Mkapa Leo

  BENCHI la Ufundi la Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, limeweka wazi kuwa, mpango wao mkubwa ni kupata...

READ MORE

Yanga: Tutawachagulia Simba Dozi Namna Watakavyokuwa Uwanja wa Mkapa

  ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC, amesema watawachagulia dozi ya kuwapa watani zao wa jadi Simba SC kutokana...

READ MORE

Fei Toto Awaita Mashabiki wa Yanga Uwanja wa Mkapa, Atamba Kushinda ‘Kama Kawa’

  KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amewaomba mashabiki wa timu hiyo leo Jumapili kujitokeza kwa wingi katika...

READ MORE

Kombe la Dunia U17: Serengeti Girls Wametuheshimisha, Yaondoshwa Kwenye michuano

  TIMU ya Taifa ya Wasichana ya Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Girls, jana Jumamosi iliyaaga mashindano ya Kombe...

READ MORE

Mdaka Mishale wa Yanga, Djigui Diarra Akimbizwa na Air Manula

MDAKA mishale wa Yanga, Djigui Diarra, kwenye anga la kimataifa amekimbizwa na Aishi Manula maarufu Air Manula wa Simba.  ...

READ MORE

Beki wa Yanga Dickson Job Atangaza Kumuweka Moses Phiri Chini ya Ulinzi Mkali

  HUKO Yanga unaambiwa mabeki wa timu hiyo hawataki masihara kwani wameweka wazi kuwa hawatakubali kufanya makosa na kuwaruhusu washambuliaji...

READ MORE

Sadio Mane Afunguka Kuhusu Maisha Yake, Awaasa Mastaa Duniani Kuijali Jamii

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Bayern Munich ya Nchini Ujerumani, raia wa Senegal Sadio Mane amefunguka na kuelezea vipaumbele vyake katika...

READ MORE

Simba: Tumechoka Kufungwa na Yanga Tutapambana Kuibuka na Ushindi

UONGOZI wa Klabu ya Simba, umekiri kuwa umechoka kufungwa na Yanga, na safari hii watapambana kuhakikisha kuwa wanaibuka na ushindi...

READ MORE

Injinia Hersi: Wachezaji Wametuapia Kuifunga Simba Kesho Kutwa Jumapili

WACHEZAJI wa Yanga kwa pamoja wamewaahidi viongozi wa timu hiyo, kupambana kwa dakika 90 ili kuhakikisha wanarejesha furaha ya mashabiki,...

READ MORE

Kuelekea Kariakoo Dabi.. Nabi Asuka Mikakati Mipya Yanga, Aanza Na Gym

JESHI lote la Yanga juzi Jumatatu jioni liliingia kambini tayari kwa ajili ya mchezo wa Kariakoo Dabi huku Kocha Mkuu...

READ MORE

Rais wa Heshima wa Simba ‘Mo’ Aimaliza Yanga kwa 500M Jumapili hii Kwa Mkapa

  KUELEKEA kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi, Rais wa Heshima wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, ameahidi zaidi ya Sh 500Mil...

READ MORE

Mshambuliaji wa Simba Moses Phiri Atoa Kauli ya Kibabe Ligi ya Mabingwa Afrika

  MSHAMBULIAJI wa Simba, Moses Phiri amesema kuwa kwa sasa akili yake inawaza kusaidia Simba kuweza kufika mbali zaidi kwenye...

READ MORE

Siri Yafichuka Kilichomfanya Benzema Afanikiwe Kuchukua Ballon D’ Or

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Real Madrid, Karim Mostafa Benzema ana majeraha katika kidole cha mwisho cha kulia chake kwa takribani...

READ MORE

Ten Hag Aaahidi Kumalizana na Ronaldo Baada ya Kuonesha Utovu wa Nidhamu

KOCHA wa Manchester United Erik Ten Hag amesema atamalizana na mchezaji wake Cristiano Ronaldo baada ya kuonesha kitendo cha utovu...

READ MORE

Mchezaji wa Man United Aachiwa kwa Dhamana Kufuatia Sakata Lake la Kesi ya Kubaka

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Manchester United Mason Greenwood amechiwa huru kwa dhamana baada ya kuhudhuria mahakamamni kufuatia Sakata la keshi...

READ MORE

Tanzania Yaingia Robo Fainali Kombe la Dunia Chini ya Miaka 17

  Canada ilitolewa kwenye Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake U-17 Jumanne baada ya kutoka sare ya kwanza na...

READ MORE

Yanga Yaipiga Mkwara Simba Kuelekea Mechi ya Dabi Uwanja wa Mkapa

  YANGA SC wameanza tambo kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba SC unaotarajiwa kuchezwa wikiendi hii kwenye...

READ MORE

Mayele: Hatujakata Tamaa Mashindano ya Kimataifa Tutakiwasha Kombe la Shirikisho Afrika

  FISTON Mayele, mshambuliaji wa Yanga, amesema kushindwa kufuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, sio mwisho wa kufanya...

READ MORE

Simba Wataja Walipokosea Yanga Kwenye Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika

  WACHEZAJI wa zamani wa Simba SC, Abdallah Kibaden na Bakari Malima, wameibuka na kusema kuwa sababu kubwa iliyopelekea Yanga...

READ MORE

Mgunda Nyodo Tupu, Aitaka Robo Fainali CAF Ligi ya Mabingwa Afrika

  KOCHA Mkuu wa Simba, Juma Mgunda, amesema malengo ya kwanza yametimia ya kufuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Yanga Yapangwa Kucheza na Club Africain ya Tunisia Kombe la Shirikisho

Ratiba ya Kombe la Shirikisho barani Afrika  leo Oktoba 18, 2022 imetangazwa ambapo mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC kutoka...

READ MORE

Bosi Simba Atamba Kuelekea Kariakoo Dabi Jumapili hii Uwanja wa Mkapa

  KUELEKEA mchezo wa Kariakoo Dabi unaotarajiwa kupigwa Jumapili hii, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally ameweka...

READ MORE

Mjue Bingwa wa Beti wa Milioni 2 kwa Meridianbet USSD! Soma Hapa kufahamu Ubashiri Wake

Wikiendi hii Meridianbet imeshuhudia bingwa mwingine wa ubashiri kwa USSD, ambaye amejikusanyia kitita cha shilingi milioni mbili kwenye ubashiri wake....

READ MORE

Karim Benzema ashinda tuzo ya Ballon d’Or Kwa Mara ya Kwanza na Real Madrid

Mchezaji wa kimataifa wa soka Karim Benzema ameshinda tuzo ya Ballon d’Or kwa upande wa wanaume kwa mara ya kwanza...

READ MORE

Man United Yaungana na Chelsea katika Vita ya Kumsajili Winga wa AC Milan

KLABU za Manchester United pamoja na Chelsea zimeingia katika vita nzito ya kuwania Saini ya winga wa AC Milan na...

READ MORE

Simba Yatinga Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yaipiga 1-0 (Agg 4-1) De Agosto

Simba SC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Primeiro De Agosto na kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya...

READ MORE

Mgunda Atambia Viwango vya Phiri, Chama Dhidi ya De Agosto Uwanja wa Mkapa

  KOCHA wa Simba, Juma Mgunda ameweka wazi kuwa ubora wa wachezaji wa timu hiyo ulioonyeshwa katika mchezo wao wa...

READ MORE

Kocha wa Yanga Awapangulia Kikosi Wasudan leo Jumapili Kufuzu Hatua ya Makundi

  KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nassredine Nabi, amekiri kuwa, leo Jumapili huenda kukawa na mabadiliko kutoka katika kikosi kilichocheza...

READ MORE

Mastaa Simba Waonywa na Bodi ya Wakurugenzi Kuhakikisha Hakuna Kupoteza

WAKATI Simba SC leo ikitarajiwa kushuka katika Uwanja wa Mkapa, Dar, kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Ligi ya...

READ MORE

Kante na James Hatihati Kukosa Kombe la Dunia, Majeruhi Yatajwa Kama Sababu

NYOTA wa Klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza kiungo mkabaji Ngolo Kante pamoja na mlinzi wa kulia Reece James huenda...

READ MORE

Foden Ajitia Kitanzi Man City, Bosi Amtabiria Kuwa Mchezaji Bora Duniani

KINDA wa Manchester City raia wa Uingereza Phil Foden ameongeza mkataba mpya klabuni hapo wa miaka mitano (5) unaotarajiwa kumuweka...

READ MORE

Yanga Inakuja Kivingine… Nabi Ajivisha Mabomu, Afumua Kikosi cha Sudan

  KATIKA kuhakikisha anapata matokeo mazuri ugenini dhidi ya Al Hilal, Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amepanga kufanya...

READ MORE

Al Hilal Yawatumia Salamu Yanga, Yampiga Mtu Kama Ngoma 

  KLABU ya Al Hilal wakiwa kwenye uwanja wao wa nyumbani wameibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Wad...

READ MORE

Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele Awatuliza Mashabiki Atoa Ahadi ya Kibabe

  MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Kalala Mayele amewataka mashabiki wa timu hiyo kutokata tamaa kwani bado wanayo nafasi nzuri ya...

READ MORE

Msemaji wa Simba Awaita Mashabiki Kuimaliza de Agosto ya Angola Uwanja wa Mkapa

Meneja wa Habari na  Mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmed Ally  leo Oktoba 12, 2022 amesema kikosi cha Primeiro de...

READ MORE

Bosi Yanga Aukubali Mziki wa Simba katika Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika

  KASI waliyoanza nayo Simba katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika imemuibua Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ambaye...

READ MORE

Al Hilal Mtakiona Jumapili…. Mabosi wa Yanga Wahamia Kambini Avic Town, Kigamboni

KATIKA kuhakikisha morali na hamasa inaongezeka, baadhi ya viongozi wa Yanga wamechukua maamuzi ya kukaa karibu na wachezaji wao huko...

READ MORE

Mashabiki wa Muziki: Zuchu Amzalie Haraka Diamond Kama Anataka Mali

Kama ilivyo kawaida, baada ya picha kuibuka mitandaoni ikionesha jumba ambalo lilisemekana kumilikiwa na msanii Diamond Platnumz nchini Afrika Kusini,...

READ MORE