Browsing Category
Music Videos
Billnass ft Marioo – Maokoto (Official Music Video)
MWANAMUZIKI William Lyimo ‘Billnass’ (Nenga) ameachia video ya wimbo wake mpya wa Maokoto ambao amemshirikisha msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo.
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU…
Diamond Platnumz – Overdose (Official Lyric Audio)
Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia wimbo wake wa Overdose.
Ommy Dimpoz – My Queen (Official Music Video)
MSANII wa Bongo Fleva Omary Faraji Nyembo, maarufu kama Ommy Dimpoz, ameachia video ya wimbo wake wa My Queen akimuimbia Mfanyabiashara maarufu wa vitu mbalimbali hapa Bongo Jenifer Jovin 'Niffer' ndani ya video hiyo.
Phina – DO SALALE (Official Lyrics video)
Mwimbaji na miongoni mwa vipaji vikubwa vinavyokua kwa kasi na kufanya vizuri kutoka Tanzania ‘Phina’ Ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la DO SALALE
Pretty Kind Aachia Video Mpya ya Alpha na Omega (Official Video)
Mwimbaji wa Gospel na muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind amesema anawakaribisha mashabiki wake wote kusikiliza wimbo wake mpya wa Gospo unaokwenda kwa jina la Alpha na Omega.
Pretty Kind…
Harmonize Ft Ruger – Single Again Remix (Official Music Video)
MSANII wa Bongo, Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize au Harmo Ameachia Remix ya Single Again amemshirikisha Ruger.
Diamond Platnumz ft Koffi Olomide – Achii (Official Music Video)
Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia video ya Achii! amemshirikisha Koffi Olomide.
Lava Lava Ft Diamond Platnumz – Tuna Kikao (Official Music Video)
MKALI wa muziki kutoka kundi la Wasafi, Abdul ‘Lavalava’ ameachia video ya ngoma yake mpya ya Tuna Kikao kamshirikisha bosi wake staa wa Bongofleva, Diamond Platnumz.
Jux Ft Diamond Platnumz – Enjoy (Official Video)
STAA wa Bongo Fleva, Juma Jux , ameachia video yake ya 'Enjoy' ambayo kamshirikisha supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania, Diamond Platnumz.
Alikiba Aachia Wimbo wa Simba (Mnyama), Kupiga Bonge la Shoo Kwa Mkapa
Rasmi Staa wa Muziki wa Tanzania na Afrika, AliKiba 'King Kiba'amehamia Simba na Agosti 6, 2023 atakuwa mtumbuizaji mkuu katika Uwanja wa Benjamin Mkapa akitamba na wimbo wa Mnyama (Simba SC Anthem)
"Nimepata mapokezi makubwa Simba,…
Harmonize – Dear X (Official Audio)… Upo Hapa, Kajala Atajwa
Mashabiki wa Mkurugenzi mkuu wa lebo ya muziki ya Konde Music Worldwide Harmonize wamepongeza wimbo wa Dear X, huku wakimtaja muigizaji mkongwe wa filamu nchini Tanzania, Kajala Masanja.
Harmonize - Hawaniwezi (Official Audio)
Harmonize – Tena (Official Music Video)
MSANII wa Bongo, Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize au Harmo Ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Tena.
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata…
Harmonize Ft Spice – Miss Bantu (Official Music Video)
MSANII wa Bongo, Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize au Harmo Ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Miss Bantu amemshrikisha Spice.
Alikiba feat Marioo – Sumu (Official Music Video)
MSANII nguli wa mziki wa kizazi kipya (Bongo fleva), Alikiba na Marioo wameachia video ya wimbo wao wa Sumu.
Diamond Platnumz feat Chley – Shu! (Official Music Video)
Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia video ya Shu!
Yammi – Tiririka (Official Music Video)
Msanii, Yammi wa lebo ya msanii maarufu wa Bongo Fleva, Faustina Mfinanga ‘nandy’ leo Juni 27, 2023 ametambulisha rasmi video yake mpya ya Tiririka.
Martha Mwaipaja – UNASEMA NINI (Official Video)
Muimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini Martha Mwaipaja, Ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la-Unasema Nini.
Diamond Platnumz – Yatapita (Official Music Video)
Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia video ya Yatapita.
Harmonize Ft. Alice Kella – Best Friend (Official Music Video)
MSANII wa Bongo, Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize au Harmo Ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la-Best Friend.
Jay Melody – Nakupenda (Official Video), Kuwa wa Kwanza Kuangalia Hapa
Jay Melody; ni staa mwingine mkubwa kwa sasa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania leo Novemba 4, 2022 ameachia video ya wimbo wake wa nakupenda.…
Whozu – Sijui Nikoje (Official Music Video)
Msanii wa muziki Bongo Fleva, Whozu ”ameachia video ya wimbo wake wa Sijui Nikoje
Nay wa Mitego Ft Jux – Starehe Yako (Offcial Music Video)
Staa wa muziki wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, ameachia video zake mbili kwa mpigo wa Starehe Yako na Sherehe.
Nay Wa Mitego - Sherehe
Video: Mkasa Mzito Wa Dereva Mwanamke Wa Malori, Asimulia Mateso Aliyopitia Dodoma (1&2)
Dereva Catherine Sanga yeye ni Dereva wizara ya Elimu kwa sasa anatusimulia Magumu aliyoyapitia hadi ndoto yake kutimia ya kuwa Dereva mahili nchini.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/…
Diamond Platnumz – Nawaza (Lyric Video)
STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul “Diamond Platnumz” Machi 11, 2022 ameachia EP yake ya #FOA nyenye nyimbo kumi.
Diamond Platnumz ft Zuchu – Mtasubiri (Lyric Video)
SUPA STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul “Diamond Platnumz” Machi 11, 2022 ameachia EP yake ya #FOA nyenye nyimbo kumi.
Diamond Platnumz – Gidi (Official Music Video)
SUPASTAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul “Diamond Platnumz” leo Feb 19, 2022 ameachia video ya wimbo wake wa Gidi.
Ujio wa Asa na Ngoma Mpya ‘Ocean’
MWANAMUZIKI mahiri kutoka nchini Nigeria, Asa ameachia ngoma yake mpya iitwayo Ocean aliyofanya na prodyuza maarufu, Priime, ikiwa ni maandalizi ya kutoa albamu yake ya V (Five) inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni.
Kuachiwa…
Aggy Baby Aachia Ngoma Mpya Kamnyweso
Staa wa muziki wa kizazi kipya na filamu Bongo, Agness Suleiman almaarufu Aggy Baby, ameachia video ya ngoma yake mpya ya Kamnyweso, akiwa amemshirikisha mkali mwingine, Stompion anayefanya poa kwenye gemu.
Video hiyo…
The Ben Ft Diamond Platnumz – WHY (Official Music Video)
SUPA STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul “Diamond Platnumz” leo Januari 4, 2022 ameachia video ya wimbo wa 'WHY' ambao ameshirikishwa na msanii wa Rwanda, Benjamin Mugisha 'The Ben'.
Diamond Platnumz – Unachezaje (Official Music Video)
MSUPASTAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul “Diamond Platnumz” leo Desemba 25, 2021 ameachia video ya wimbo wake wa Unachezaje
Rekodi za Jembe Jipya Yanga Zinatisha
REKODI za winga mpya wa Yanga, Chico Ushindi zinatisha jambo ambalo linaonesha ni kweli timuhiyo imepata jembe la maana ambalo litakuja kuongeza makali katika safu ya ushambuliaji ambayo kwa sasa inazidi kuwa kiwembe.
Yanga tayari…
Elsy Wameyo Adondosha ‘Nilotic’ – Video
MWANAMUZIKI maarufu nchini Kenya, ambaye kwa sasa anafanya shughuli zake za muziki nchini Australia, Elsy Wameyo ameachia kibao kipya 'Nilotic' ikiwa ni katika mfumo wa audio na video.
Ujio huu wa msanii huyu mrembo, Elsy ni…
Wasafi, Kiba, Nandy, Stamina Wafunga Mwaka Kwa Kishindo
Mwaka ukiwa unaelekea ukingoni, wasanii wanaofanya vyema katika gemu ya Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Ali Kiba na Stamina, wanatajwa kuwa miongoni mwa wasanii walioapata mafanikio makubwa zaidi katika jukwaa la kustream muziki la…
Fancy Fingers wa Sauti Sol Atoka Kivyake
MEMBA wa Kundi la Sauti Sol la nchini Kenya, Fancy Fingers ambaye ni mtayarishaji wa muziki, ameachia singo yake inayokwenda kwa jina la “How I Met Your Mama” akiwa kama solo artist. Hii ni ishara ya mwanzo wake mpya wa safari yake…
Emmanuel Jal Aachia Video “Hey Mama”
KUTOKA nchini Sudani Kusini, mkali wa muziki Emmanuel Jal ameachia video ya kibao chake, ‘Hey Mama’ wenye maudhui ya kuelimisha jamii kuhusu amani na maisha yajayo yenye upendo na umoja wa kimataifa.
Hey Mama ni kibao…
Diamond, Zuchu, Marioo, Darasa Watesa Chati za Apple Music
IKIWA tupo mwishoni mwa mwaka 2021, Kampuni ya muziki ya Apple imetoa chati ya nyimbo 100 bora zaidi kwa mwaka 2021 ambapo kwa upande wa Tanzania mastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Zuchu, Marioo na wengineo wameonekana…
Asa Aachia Ngoma Mpya ‘Mayana’ – Video
MWANAMUZIKI mahiri kutoka nchini Nigeria, ASA ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitafuta njia ya kuutangaza muziki wake kimataifa kwa namna ya kipekee, ameachia ngoma mpya aliyoipa jina la Mayana ikiwa ni pamoja na video yake.
…
Ngoma ‘Friday Feeling’ ya Chimano Moto
MEMBA wa kundi maarufu la Sauti Sol kutoka Kenya, Chimano ameachia singo yake mpya ya Friday Feeling pamoja na video yake, ikiwa ni maandalizi ya kuachia albamu yake ya Heavy is The Crown, inayotarajiwa kutoka mwanzoni mwa 2022.…