×

Risasi

Jokate Awapiga Pini Wanafunzi Kuingia Gesti

MWANAMITINDO ambaye pia ni Kaimu Katibu Hamasa na Chipukizi wa UVCCM, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amewapiga pini wanafunzi wa Mugabe Sekondari...

READ MORE

Shamsha: Nimeridhika Sina Mimba Jamani

STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa hana mimba kama wengi wanavyodhani bali amenenepa kwa kuwa ameridhika na...

READ MORE

Ester, Aunt Ezekiel Wamaliza Bifu Lao

BAADA ya mastaa wawili wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel na Ester Kiama kuwa kwenye bifu la muda mrefu ambalo hawakuwahi...

READ MORE

Wadada wa Mjini…Eti bora Kuwa ‘Single Mother’ Halafu?

SINGLE mother ni kamsemo ambapo kadiri siku zinavyozidi kwenda kanazidi kushika hatamu. Si msemo wa asili yetu bali tumeuchukua kutoka...

READ MORE

Uwoya Apewa Makavu na Mashabiki Kisa Dogo Janja!

DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya kudaiwa kuwa amefunga ndoa na staa wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’,...

READ MORE

Nana Gum: Najisikia Huru Kula Kwa Mama Lishe

  MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu wa Mpaka Home, kama ilivyo kawaida ya safu hii ni kutinga majumbani kwa mastaa...

READ MORE

Baada ya Flora, Miss Tanzania…Skendo Ya Mbasha, Mke Wa Mtu Yatikisa

  D AR ES SALAAM: Baada ya kumwagana na mzazi mwenzake, Flora Mbasha kisha kudaiwa kuanzisha uhusiano na Mshiriki wa...

READ MORE

Maskini Lulu! Hukumu Yake Inatisha, Maisha Yake Mikononi Mwa Jaji

    DAR ES SALAAM: Maskini Lulu! Kesi ya mauaji ya bila kukusudia ya aliyekuwa mwigizaji kinara nchini, Steven Kanumba,...

READ MORE

Koletha: Adaiwa Kupigwa Stop Kuigiza Filamu

MSANII wa filamu za Kibongo, Koletha Raymond anadaiwa kupigwa stop kucheza filamu na mumewe Temba ndiyo maana amejikita kwenye mambo...

READ MORE

Mwanaume Uwe Bosi Kwa Mwanamke Unaachaje Kuwa?

KUTOKANA na ubize wa maisha, wanaume wengi sana wamekuwa wakishindwa kutimiza majukumu yao. Mwanaume anashindwa kufanya mambo yanayompasa kufanya kwa...

READ MORE

Miss Mara Anaswa na Kidume!

MARA paaaap! Miss Mara mwaka 2000, Rashida Wanjara ambaye ni mmoja wa masupastaa wa muda mrefu wanaopatikana katika viwanja vya...

READ MORE

Shilole: Namwamini Mpenzi Wangu

LICHA ya mastaa wenzake akina Shamsa Ford na Aunt Ezekiel kuwatolea povu wasichana wanaowamendea waume zao, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ yeye...

READ MORE

Kisa Ndoa Ndugu Wadaiwa Kumsusa Zamaradi

  BAADA ya kufunga ndoa hivi karibuni na kuibua gumzo kubwa nchini, aliyekuwa mtangazaji wa Clouds TV, nyepesi vimevuja kuwa...

READ MORE

Nailaty: Mobeto Tulia Uwalee Watoto, Achana na Drama

MWANADADA anayefanya poa kwenye ulimwengu wa mitindo Bongo, Nailaty John ‘Nai Model’ amemfungukia mwanamitindo mwenzake, Hamisa Mobeto na kumtaka aachane...

READ MORE

Barua Nzito: Aslay Sikio Lisizidi Kichwa!

NIWASHUKURU wasomaji wa Barua Nzito kwa maoni na ushauri wenu mbalimbali. Kama ambavyo niliwahi kueleza awali kuwa lengo la safu...

READ MORE

Baba: Wallah Nitakufa Na Mobeto

BAADA ya hivi karibuni mwanamitindo Hamisa Mobeto kumpeleka mahakamani msanii wa Bongo Fleva kwa madai ya malezi ya mtoto aliyezaa...

READ MORE

Dida: Sijawahi Kuhongwa Chochote Na Mwanaume

MTANGAZAJI wa redio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amefunguka kuwa katika maisha yake hajawahi kuhongwa chochote na mwanaume, mafanikio yake...

READ MORE

Mwana: Ndoa Haitoniachisha Kuigiza

MSANII wa filamu Bongo, Mwanaheri Ahmed ‘Mwana’ ameeleza kuwa licha ya soko la filamu kuwa gumu hata akiolewa hawezi kuacha...

READ MORE

TRA Yaliuza Range Rover Evoque Ya Wema Sepetu

BAADA ya kugoma kuuzika sokoni tangu likamatwe, yapata mwaka mmoja na miezi kadhaa, hatimaye lile gari aina ya Range Rover...

READ MORE

Aslay Afungukia Bifu Lake na Beka Flavor

HUKU kukiwa na fununu za kuwepo kwa bifu zito kati ya Aslay na mwanamuziki mwenzake Beka Flavor, ambao walifanya kazi...

READ MORE

Hivi Snura Huyo Chura Akipukutika Muziki Utaendelea

  HABARI wadau wa Barua Nzito, niwashukuru nyote kwa maoni na ushauri wenu kila wiki kuhusu safu hii. Mwishoni mwa...

READ MORE

Kumbe Ruby Alikuwa na Ujauzito Feki?

BAADA ya hivi karibuni kuonekana na mwenyewe kukiri kwamba ni mjamzito lakini ghafla ujauzito huo kuyeyuka na kuzua gumzo kwa...

READ MORE

Mainda Azua Timbwili Nyumbani Kwao!

STAA wa Filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ juzikati alizua timbwili nyumbani kwao maeneo ya Mikocheni jijini Dar alipotembelewa na waandishi...

READ MORE

Kajala, Wolper Kimewaka Mbaya

DAR ES SALAAM: Kinachoendelea hivi sasa kati ya mastaa wawili wakubwa wa filamu, Kajala Masanja na Jacqueline Wolper tunaweza kusema...

READ MORE

Mpenzi Wangu Marufuku Kwangu

STAA wa fi lamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka kuwa, hana kawaida ya kuruhusu mpenzi wake kufi ka nyumbani...

READ MORE

Droo Kubwa Shinda Nyumba Bado Siku 13 Mjengo Upate Mwenyewe

  DROO kubwa ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili inatarajiwa kuchezeshwa Septemba 27 mwaka huu, hiyo ikiwa...

READ MORE

Majanga! Familia Zatupiwa Vyombo Vyao Nje, Nyumba Yavunjwa

MAJANGA! Jumla ya familia zipatazo saba wiki moja iliyopita zilijikuta katika wakati mgumu kufuatia kubomolewa kwa nyumba waliyokuwa wakiishi, kufuatia...

READ MORE

Irene Paul: Sikuingia Kwenye Ndoa Kama Fasheni

UKITAJA waigizaji wanaojua nini wanapaswa kufanya mbele ya kamera na kuzitendea haki nafasi anazopewa kuigiza, basi huwezi kumuweka kando mwanadada...

READ MORE

Uwoya Ajifananisha na Jini

STAA wa filamu za Bongo, Irene Uwoya ameibuka na kusema kuwa uzuri alionao unamfanya wakati mwingine ajifananishe na jini kwani...

READ MORE

KAHABA MZUNGU ATIKISA DAR! AHOFIWA KUSAMBAZA VIRUSI

  DAR ES SALAAM: Kabaaang! Changudoa mmoja wa Kizungu raia wa Uholanzi aliyefahamika kwa jina moja la Monica ametikisa Jiji...

READ MORE

TAHARUKI, MWILI ULIOZIKWA JULAI WAFUKULIWA SEPTEMBA

  KILIMANJARO: Taharuki! Hivi ndivyo unavyoweza kusema kufuatia umati mkubwa wa watu kujitokeza jana wakati polisi walipoongoza ufukuaji wa kaburi...

READ MORE

PICHA ZA UTUPU NI STAILI ILIYOFELI – TUNDA

MUUZA nyago machachari Bongo, Tunda Sebastian amewapa makavu mamodo wanaoibuka kwa staili ya kupiga picha za utupu akisema fasheni hiyo...

READ MORE

MCHAWI WA BONGO MOVIE NI SISI WENYEWE – SHAMSA

NI uwezo wake wa kufanya kweli awapo mbele ya kamera, ndiyo umempa jina na umaarufu mkubwa kunako kiwanda cha kuzalisha...

READ MORE

Harmorapa Kujifunza Kingereza kwa Mr. English

BWA’MDOGO asiyekaukiwa matukio, Harmorapa anatarajia kuanza kujinoa katika suala zima la Lugha ya Kingereza kwa mtaalam wa kufundisha lugha hiyo,...

READ MORE

AIKA: MNAOSUBIRI NIOLEWE NA NAHREEL MTASUBIRI SANA

  BAADA ya tetesi kuzagaa kuwa mwanadada Aika Mariale na mpenzi wake wa siku nyingi, Nahreel, wanaounda kundi la muziki...

READ MORE

SHAKA SSALI KUONGOZA KONGAMANO LEO

MTANGAZAJI wa kimataifa kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika (VOA) ambaye ni mhariri wa idara hiyo na mtangazaji...

READ MORE

KUCHELEWA KUZAA KUNAVYOSABABISHA UVIMBE KWENYE KIZAZI

    KUNA aina mbili za uvimbe kwenye kizazi unaoweza kutokea, moja huweza kutokea kwenye mlango wa kizazi na kitaalamu...

READ MORE

MATITI YAMTESA LULU

  MUIGIZAJI nyota wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ mwishoni mwa wiki iliyopita aligeuka kuwa gumzo baada ya nguo aliyovaa...

READ MORE

KIBA akinukisha: MASTAA, VIONGOZI WAJITOSA!

  DAR ES SALAAM: Amekinukisha! Si kwa ubaya, la hasha. Kwa wema tu. Mkali wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba...

READ MORE

VANESSA MDEE NA JUX ACHENI KUTUZUGA!

  Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunizawadia pumzi yake ambayo imeniwezesha kuandika barua hii ya leo inayokufikia wewe msomaji...

READ MORE