×

Risasi

NGOMA ZILIZOFUNGA 2018 NA KUFUNGUA 2019

NOVEMBA 23, 2016 Ngoma ya Muziki ya Darassa akiwa amemshirikisha Ben Pol iliachiwa rasmi na baada ya hapo ilibaki kuwa...

READ MORE

MISS TZ ANA BIFU NA BASILA?

BAADA ya stori kusambaa kuwa Miss Tanzania 2018, Queen Elizabeth ameingia kwenye bifu na mratibu wa shindano hilo, Basila Mwanukuzi...

READ MORE

CASTO ATAMANI NDOA

MTANGAZAJI wa CloudsTV, Casto Dickson amefunguka kwamba anatamani kuoa hata leo ila tatizo bado hajajua ni mwanamke gani atakayemuoa kwa...

READ MORE

HARMONIZE AFUNGUKA KUWATUKANA WAKENYA

MKALI wa Bongo Fleva kutoka Wasafi Classic Baby (WCB), Rajab Abdul ‘Harmonize’ amefungukia tuhuma ya kutukana Wakenya kwa kuwaita maskini...

READ MORE

MAHINDI HAYACHOMWI KWA GESI

KAMA nak-uona shoga yangu ulivyobetua macho juu kama unaangalia mkungu wa ndizi mbivu, utashanga sana na mwezi dume ndiyo huo...

READ MORE

BAADA YA NDINGA, MAUA: MASHABIKI WAMENIPA KIWANJA

BAADA ya kufunga mwaka vizuri na Ngoma ya Iokote na kufanikiwa kuvuta ndinga aina ya Toyota RAV4, staa wa Bongo...

READ MORE

LEO TUNAFUNGA JUMLA JUMLA 2018 ROSTAM, MAUA SAMA DAR LIVE

  WAKALI wawili wasioshikika kwenye Muziki wa Hip Hop Bongo, Roma Mkatoliki pamoja na Stamina wanaounda Kundi la Rostam pamoja...

READ MORE

Maskini Ruge na Dimpoz!

KUNA wengine hesabu za kuuingia mwaka mpya 2019, zimekuja na majibu mabaya, watakaoufikia salama, heri kumshukuru Mungu. Ukisikia kauli ya...

READ MORE

WEMA APEWA MASHARTI 5 MAZITO, BAADA YA KUANZA BIASHARA

  WEMA si yule! Baada ya kuanzisha biashara yake ya duka la nguo za watoto liitwalo Little Sweetheart, staa mkubwa...

READ MORE

Amber Rutty: Jela Siyo Pa Mchezomchezo, Pasikie tu

KWA mara ya kwanza tangu atoke gerezani kwa dhamana, Video Queen, Mascat Abubakary ‘Amber Rutty’ ameibuka na kueleza kuwa jela...

READ MORE

Dogo Janja Alivyozua Taharuki Fiesta!

HATA ungekuwa wewe, ukimuona mtu unayemfahamu, mara paaap kazungukwa na polisi wenye silaha lazima taharuki ikushike; ndivyo ilivyokuwa kwa msanii...

READ MORE

Penzi la Diamond Tanasha, Zengwe Jipya Laibuka!

Zengwe kama lote! Habari ikufikie kuwa, lile penzi matata la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwandani...

READ MORE

TOP SKENDO SKENDO ZA MASTAA BONGO 2018

KWENYE dunia ya mastaa kuna mengi. Yapo ya kuburudisha, kuelimisha na mengine yatakuacha mdomo wazi. Kuna vitimbi na vituko! Kubwa...

READ MORE

Maisha Ya Ray C Na Kilichompata, Mdogo Wangu

MWAKA 2012, tarehe siikumbuki vizuri, nikiwa katika ofisi zetu za zamani maeneo ya Bamaga, Mwenge jijini Dar, nilipigiwa simu na...

READ MORE

Mhe. Temba Afungukia Kilichompoteza!

  Mwana mpotevu kwenye Bongo Fleva, Amani Temba ‘Mheshimiwa Temba’ amefunguka sababu zilizomfanya kupotea kwenye gemu kwa kipindi cha miaka...

READ MORE

Bela Adai Uzazi Haujamuachisha Muziki

Mwanamuziki wa Kundi la Scorpion Girls, Isabela Mpanda ‘Bela’ baada ya kimya kingi ameibuka na kudai kuwa uzazi haujamuachisha muziki...

READ MORE

Lulu Diva Afungukia Kufulia

  BAADA ya kudaiwa kwamba kwa sasa amefulia ndiyo maana hata mbwembwe zake hazisikiki tena mjini, mwanamuziki wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Ester Kiama Aogopa Wanga

  WAKATI mwaka 2018 ukielekea ukingoni, mwigizaji wa sinema za Kibongo, Ester Kiama ameogopa kutaja malengo yake ya mwaka ujao...

READ MORE

Kim Nana Sina Bifu Na Lynn

  LICHA ya wote kudaiwa kuonja penzi la staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na kusemekana kuwa wana bifu...

READ MORE

SIRI ZA WEMA KUKONDA ZAVUJA !

DAR ES SALAAM: Jamani kwani Wema ana nini lakini? Ni sehemu ya kauli za mshtuko za baadhi ya mashabiki wa...

READ MORE

KAPO ZA MASTAA BONGO ZILIZOBAMBA 2018

WAKATI mwaka wa 2018 ukikaribia kufika ukingoni, kwenye ulimwengu wa mastaa yapo mambo mbalimbali yaliyotokea tangu ulipoanza yakiwemo mazuri na...

READ MORE

DUDU BAYA AMSHUSHIA KIPIGO GIGY MWANZA

LICHA ya hivi karibuni mwanamuziki wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudu Baya’ au Konki Konki Konki Master’ (pichani) kunaswa akiwa...

READ MORE

FLORA ATIA NENO H-BABA KUMMISS UWOYA

BAADA ya hivi karibuni msanii wa muziki Bongo, Hamis Baba ‘H-Baba’ kuonyesha kuwa kammiss sana aliyewahi kuwa mpenzi wake, Irene...

READ MORE

MISS TZ: SICHAGUI, NITAFANYA CHOCHOTE CHA KIJAMII

BAADA ya kurudi kwenye mashindano ya Miss World ambako hakufanya vizuri, Miss Tanzania 2018 Queen Elizabeth amesema kuwa, yuko tayari...

READ MORE

NDOA YA CHAZ YAPIGWA ZENGWE

UMBEYA ni suna na pia unaongeza vitamini mwilini! Siku moja baada ya kufungwa, ndoa ya mwanamuziki mahiri wa muziki wa...

READ MORE

WASTARA NATAMANI KUJIUAAN!

BINADAMU anaweza kuandamwa na matatizo kibao kiasi cha kufikia hatua ya kukufuru lakini hatutakiwi kuwa hivyo bali tunapopata mitihani tushukuru...

READ MORE

SASHA Atoa Povu, Aanika WOWOWO la Mama Yake Mzazi! (VIDEO)

  VIDEO Queen Sasha Kassim ameibuka na kudai kuwa mama yake anayeitwa Fatma ndio alimsababishia ‘matatizo’ na kuipata shepu ambayo...

READ MORE

NISAIDIENI NIKATWE MGUU

DAR ES SALAAM: NI mtihani mzito! Peter Stewart (31), mkazi wa Ubungo – Maziwa, jijini Dar es Salaam, yupo kwenye...

READ MORE

LYNN: RAYVANNY DOGO JANJA WALINIPA NGUVU

VIDEO Queen wa Bongo, Irene Godfrey Louis ‘Lyyn’ ambaye kwa sasa ameingia rasmi kwenye Bongo Fleva amefungukia waliompa nguvu kuingia...

READ MORE

DARASSA AIBUKA, AFUNGUKIA DAWA ZA KULEVYA

BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu huku tetesi zikisema ametopea kwenye matumizi ya dawa za kulevya, staa wa Hip...

READ MORE

NIKKI WA PILI AELEZA ALIVYOKUTANA NA MCHUMBA’KE

MKALI wa Hip Hop Bongo kutoka Kundi la Weusi, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’ ameeleza alivyokutana na mchumba’ke anayetarajia kumuoa...

READ MORE

MBASHA AELEZA ANAVYOTEKETEZA PESA KWENYE SUTI

MUIMBA Injili Bongo, Emmanuel Mbasha ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha Hizo Habari Mbaya Sizitaki, baada ya kuonekana...

READ MORE

AJALI ILIYOUA MSANII NA WENZAKE WATATU… UNDANI NI HUU!

JUMAMOSI iliyopita, msanii wa muziki wa uswazi Mchiriku, Jackson Simela ‘Dogo Jack’(pichani) na wenzake watano walipata ajali ya gari na...

READ MORE

TANASHA WA DIAMOND ALIAMSHA DUDE!

MAMBO ni moto! Baada ya hivi karibuni mrembo kutoka nchini Kenya, Tanasha Donna Barbieri Okech ‘Zahara Zaire’ kuahidiwa ndoa na...

READ MORE

KUAZIMWA NGUO NA LINAH, NAI ATOA POVU

BAADA ya kunangwa kwamba ameazima nguo kwa mwanamuziki, Esterlina Sanga ‘Linah’, muuza nyago kwenye video mbalimbali za wasanii wa muziki...

READ MORE

VANESSA AJIBU ISHU YA KUMWAGANA NA JUX

MWANADADA anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ kwa mara ya kwanza ameibuka na kufunguka kuhusu...

READ MORE

DIDA: HABARI ZA NDOA TUPA KULE

LICHA ya kusifika kwa kuwa na bahati ya kuolewa mara nyingi, mtangazaji maarufu wa Redio Times, Khadija Shahibu ‘Dida’ amefunguka...

READ MORE

KONKI MASTER ALAINIKA KWA GIGY MONEY

AMA kweli hakuna mkate mgumu mbele ya kikombe cha chai ya rangi! Ndivyo ilivyo kwa mahaba kwani ukipatikana ni lazima...

READ MORE

ROSE MUHANDO AIANGUKIA SERIKALI

BADO afya ya mwimbaji maarufu wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando ni tete ambapo ameiangukia serikali imsaidie ili aweze...

READ MORE

JOKA LA JABU LATIKISA DAR

DAR ES SALAAM: Patashika nguo kuchanika! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia joka linalodaiwa kuwa la ajabu kuonekana mara kwa mara na...

READ MORE