×

Siasa

Kwa Mara ya Kwanza Dkt. Bashiru Atema Nyongo Bungeni

DAKTARI Bashiru Ally, Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, jana tarehe 25 Mei 2021, amesimama bungeni kwa mara ya kwanza na...

READ MORE

Chongolo Akutana na Mzee Msekwa

KATIBU Mkuu Ndugu Daniel Chongolo amekutana na kuzungumza na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Mzee Pius Msekwa katika Ofisi Ndogo...

READ MORE

Mnyika: Bawacha Haijaundwa Kupeleka Wabunge wa Viti Maalum

Katibu mkuu wa Chadema, John Mnyika amelitaka Baraza la Wanawake la chama hicho (Bawacha) kudai katiba mpya na tume huru...

READ MORE

CCM Kumpeleka Zitto Mahakamani

BAADA ya kiongozi ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kudai kuvamiwa na gari tatu za CCM, Katibu wa chama hicho tawala Mkoa...

READ MORE

Dkt Samizi CCM Ashinda Uchaguzi Muhambwe

MGOMBEA wa CCM katika jimbo la Muhambwe, Dk Florence Samizi ametangazwa mshindi katika uchaguzi ulifanyika jana. Uchaguzi huo umefanyika baada...

READ MORE

Dkt. Mpango, Nape, Nyalandu ‘Wavuruga’ Muhambwe

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha...

READ MORE

Gwajima: Nchi ni Lazima Iwe na Maono ya Miaka Mingi – Video

Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema kwa sasa Tanzania haina maono ya muda mrefu kwa ajili ya...

READ MORE

Chongolo Kumrithi Bashiru Ukatibu Mkuu wa CCM – Video

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amempendekeza Daniel Godfrey Chongolo kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho....

READ MORE

Mwenyekiti Chadema Atimkia CCM – Video

Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mkoa wa Lindi, Suleiman Mathew amehamia CCM na kueleza kuwa...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Achaguliwa Kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa

Rais Samia Suluhu Hassan amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura zote1,862, sawa na asilimia 100...

READ MORE

Mwenyekiti wa Chadema Lupembe na Wanachama 150 Watimkia CCM

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasiana Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Lupembe mkoani Njombe Enocent Gwivaha pamoja na wanachama 150,wamehama Chama hicho...

READ MORE

Tumuunge Mkono Rais Samia, Tusimpuuze JPM

KWA takriban wiki nzima sasa, gumzo mitandaoni limekuwa ni kuhusu mambo mbalimbali aliyoyafanya Hayati Dk John Pombe Magufuli enzi za...

READ MORE

NEC Yafanya Mabadiliko Uchaguzi Mdogo Muhambwe na Buhigwe

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefanya mabadiliko ya uchaguzi mdogo wa Ubunge katika majimbo ya Muhambwe na Buhigwe mkoani...

READ MORE

Polepole ataka wakulima waunganishwe na Tehama

Mbunge wa kuteuliwa na rais Humphrey Polepole amesema ili kukuza masoko kwa wakulima inabidi yafanyike mageuzi makubwa ya Teknolojia ya...

READ MORE

Ado Sahibu: Chimbuko la ACT Wazalendo ni Chadema – Video

  CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kuwa chimbuko la chama hicho kwa asilimia kubwa limetokaana na Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

ACT Wazalendo Yaanika Ilivyotofautiana na Membe – Video

  CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kutokana na uzoefu waliokuwa nao kwenye chaguzi za Serikali za Mitaa, walikuwa hawaamini kama...

READ MORE

Mfahamu Zaidi Mrithi wa Maalim Seif

  WAZANZIBARI na Watanzania kwa ujumla kwa sasa wameelekeza macho na masikio kwa raisi wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi wakisubiri...

READ MORE

Aida Khenan; Mbunge Pekee Aliyeangusha Mbuyu

MMOJA wa wanasiasa walioibua gumzo mwaka 2020, ni Aida Kheinan. Ndiye mbunge pekee wa kuchaguliwa kupitia Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Membe Abwaga Manyaga ACT-Wazalendo

ALIYEKUWA mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo na mshauri wa chama hicho,...

READ MORE

Mwinyi Alivyojiuzulu Uwaziri kwa Mauaji ya Kanda ya Ziwa

TUNAMALIZA mwaka mpya kwa kuwakumbusha utamaduni ambao husukumwa na maadili ambayo wakubwa serikalini wanaokumbwa na kashfa nzito hulazimika kujiuzulu nyadhifa...

READ MORE

Humphrey Polepole: Kutoka Ndoto ya Urubani Hadi Mbunge

  HUMPHREY Polepole si jina geni miongoni mwa Watanzania ambao asilimia kubwa vijana ambao wanatamani pia kuwa kama yeye. Ni...

READ MORE

BAWACHA Waandamana Wataka Mdee, Wenzake Watimuliwe

BARAZA la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) wameandamana katika ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo...

READ MORE

Sugu: Tulia Aachane na Sugu

Aliyekuwa mbunge waJjimbo la Mbeya Mjini, kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi ‘Sugu‘, amesema yeye hana mamlaka ya kumkabidhi ofisi mbunge wa...

READ MORE

Ndugai Achukua Fomu Kugombea Uspika

Spika wa Bunge aliyemaliza muda wake, Job Ndugai amechukua fomu kwa ajili ya kutetea nafasi hiyo kwa kipindi cha pili....

READ MORE

Dkt. Tulia Achukua Fomu Kuwania Unaibu Spika

Mbunge mteule wa Mbeya Mjini (CCM), Dkt. Tulia Ackson amesema hajachukua fomu ya kuwania uspika wa Bunge la 12 ili...

READ MORE

Mbunge Chadema Aliyembwaga Keissy Agoma Kuachia Madaraka

Aida Khenani, ambaye ni Mbunge mteule wa Jimbo la Nkasi Kaskazini kwa tiketi ya (Chadema) amesema hawezi kuwasaliti wananchi wa...

READ MORE

CCM Yatangaza Nafasi za Spika, Meya

BAADA ya kukamilika kwa uchaguzi mkuu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimepata ushindi mkubwa kimewaalika wanachama wa chama hicho wanaotaka...

READ MORE

Membe Arejeshwa CCM, Dkt. Bashiru Afunguka!

DAR: Wakati ikiwa imesalia siku moja kabla ya Watanzania kufikia kilele cha Uchaguzi Mkuu Oktoba 28, mwaka huu, Mgombea Urais...

READ MORE

Gwajima na Tarimba Watoa Tathmini ya Ushindi Wao Uchaguzi Mkuu

WAGOMBEA Ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa Jimbo la Kawe na Kinondoni leo, wametoa tathimini ya kampeni walizopiga na...

READ MORE

“Nileteeni Kimei”-Rais Magufuli Awaambia Vunjo

RAIS Dkt. John Magufuli ambaye ni Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, amewaasa wanachi wa jimbo la Vunjo kutofanya makosa...

READ MORE

Maalim Seif Aitwa Mbele ya Kamati ya Maadili

TUME ya Uchaguzi Visiwani Zanzibar (ZEC) imemtaka Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad,...

READ MORE

DKT JPM Alivyowapigia Debe Wagombea Ubunge wa CCM Dar

Mgombea wa kiti cha urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli jana aliwaomba wananchi wamchague tena amalizie awamu yake ya...

READ MORE

JPM Alivyopiga Kampeni ya Kishindo Dar na Kuwanadi Wagombea wa CCM

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye anagombea tena uraisi kwa awamu ya pili jana...

READ MORE

Kalebezo Yaitikia! Shigongo Achanja Mbuga, Hakamatiki Buchosa

      UMATI wa wananchi wa Kijiji cha Kalebezo, Kata ya Kalebezo,  wamefurika kumpokea mgombea ubunge Jimbo la Buchosa...

READ MORE

Mapokezi ya Shigongo Magulukenda Balaa – Pichaz

MAPOKEZI ya mgombea ubunge Jimbo la Buchosa, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo Jams, katika Kijiji cha Magulukenda, Kata...

READ MORE

Shigongo Awatia ‘Hasira’ Vijana wa Buchosa

MGOMBEA ubunge Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, amekutana na vijana wa Kata ya Kalebezo...

READ MORE

Magufuli, Chakwera Wazungumzia Kushirikiana Kiuchumi

  RAIS wa Malawi, Lazarus Chakwera, anatarajiwa kukaa nchini  siku tatu ambapo atakuwa na mazungumzo na mwenyeji wake, Rais John...

READ MORE

Shigongo: Maji ya Ziwa Lazima Yaje Hapa, Nitanunua Greda Langu – Video

MGOMBEA ubunge Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, amesema iwapo atachaguliwa hatakubali wananchi wa Jimbo...

READ MORE

Maalim Seif Aahidi Muungano Serikali Tatu

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, ameendelea na kampeni zake katika kisiwa cha Pemba...

READ MORE

Shigongo Awaambia Buchosa: Nitajitolea kwa Ajili Yenu – Video

KAMPENI zikiwa zinaendelea kupamba moto katika jimbo la Buchosa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama...

READ MORE