The House of Favourite Newspapers

CHADEMA Wanunua Magari Mapya ya Kazi Maalum – Pichaz

Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema, leo Jumatano, Oktober 17, 2018 kimeyaonyesha hadarani magari yake aina ya Ford Ranger ambayo yatatumika katika shughuli za kukiimarisha chama hicho na kukirejesha kwa wananchi.

Msemaji wa chama hicho, Tumaini Makene amesema magari hayo yatatumika katika chaguzi na utekelezaji Programu ya Chadema Msingi.

Comments are closed.