The House of Favourite Newspapers

Wema Amtambulisha Mpenzi Mpya

BEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ na aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 2006 Wema Sepetu ameamua kumtambulisha mume wake mtarajiwa kupitia ukurasa wake wa Instagram amemuweka wazi mpenzi wake huyo  wakiwa kitandani wamelala ingawa mpiga picha ni Wema mwenyewe akipiga Selfie na kuandika My Future Husband…

Wema ameposti picha hiyo na mwanaume mmoja ambaye hakuweza kutambulika kwa haraka ingawa sura yake inaonekana, picha hiyo inaonekana kabisa Wema na mwanaume huyo wako

Comments are closed.