The House of Favourite Newspapers

Chalamila: Waliniambia Nitoke CCM Nihamie Chama Kingine – CCM Tunafitinishana Wenyewe – Video

0

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila amesimulia namna wanachama wenzake wa Chama Cha Mapinduzi walitaka ahamie chama kingine.

Chalamila ameyasema hayo alipohudhuria hafla ya kukabidhi ujenzi wa barabara ya Kimara-Bonyokwa- Kinyerezi. Na kuwasisitiza vijana kutopoteza fursa pindi wanapotaka kugombea nafasi yoyote kwenye chama.

Leave A Reply