The House of Favourite Newspapers

Chama cha Waagizaji na Wasambazaji wa Mafuta Chakanusha hali ya Kutoelewana na EWURA

0

Chama cha Waagizaji na Wasambazaji wa Mafuta nchini (TAOMAC) kimetoa taarifa kwa umma kukanusha taarifa zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii zinazodai kuna hali ya kutoelewana kati yao na EWURA.

KINANA AKEMEA UTUNZI wa SHERIA za KUTAFUTA MAPATO”ZINAUMIZA WATU”ATOA AGIZO KWA WABUNGE NA MADIWANI

Leave A Reply