The House of Favourite Newspapers

CHARLES HILARY AMPA POLE SHIGONGO KWA MSIBA WA MAMA YAKE

Mtangazaj wa Azam TV, Charles Hilary (wa pili kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Global Group, Eric Shigongo (kushoto) alipofika kumpa pole kwa kufiwa na mama yake mzazi, Asteria Kahabi Kapela.
Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kushoto), akiwa na baadhi ya waombolezaji waliofika msibani.
Baadhi ya waombolezaji.

PICHA: MUSA MATEJA | GPL

Mtangazaj wa Azam TV, Charles Hilary amefika kutoa pole katika msiba wa Mama wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo,  Bi. Asteria Kahabi Kapela,  aliyefariki dunia alfajiri Ijumaa, Julai 27, 2018 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Muhimbili jijini Dar es Salaam alikokuwa akitibiwa.

Comments are closed.