The House of Favourite Newspapers

JPM Amemteua Gift Msuya Kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uyui

 

Mkuu wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora, Gift Isaya Msuya

RAIS John Magufuli amemteua Gift Isaya Msuya kuwa Mkuu wa Wilaya wa Uyui mkoani Tabora

Comments are closed.