The House of Favourite Newspapers

Chege Aachia Video Mpya Aliyomshirikisha Ray C na Sanaipei Tande – Najiuliza

0

MKALI wa Bongo Fleva toka kitambo hicho, Chege Chigunda ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao “Najiuliza” ambao ndani yake amewashirikisha Ray C na Sanaipei Tande.

Video hiyo imetengenezwa Kwetu Studios  na kuwa Produced na Lizer Classic pamoja na Dunga.

Itazame hapa

Leave A Reply