The House of Favourite Newspapers

Clinton Aitupia Lawama FBI kwa Kushindwa Urais

WASHINGTON, DC - MARCH 23:  Former U.S. Secretary of State Hillary Clinton speaks at the Center for American Progress March 23, 2015 in Washington, DC. Clinton joined a panel in discussing challenges facing urban centers in the United States.  (Photo by Win McNamee/Getty Images)

Aliyekuwa mgombea urais nchini Marekani kupitia Chama cha Democratic, Hillary Clinton, amesema kushindwa kwake ghafla katika uchaguzi uliopita, kulichangiwa sana na hatua ya Mkurugenzi wa Shirika la Kijesusi la Marekani FBI, James Comey kutangaza uchunguzi mpya wa sakata la barua pepe dhidi yake siku chache kabla ya uchaguzi kufanyika.

hillary-clinton

Bi. Clinton aliyepata kura za wajumbe 228 huku mpinzani wake Donald Trump akishinda kwa kura za wajumbe 290 amewaambia wafadhili wa chama chake kuwa hatua ya Comey ilisambaratisha kampeini zake licha ya uchunguzi huo kutomkuta na hatia.whatsapp-image-2016-11-14-at-10-00-10

Comments are closed.