The House of Favourite Newspapers

CRDB Yapata Washindi Wa Droo Ya Shinda Na TemboCard Visa Cameroon

0

 

Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati wa Benki ya CRDB, Boma Raballa (wa pili kushoto) akimkabidhi mfano wa tiketi ya kushuhudia mechi ya fainali ya Mashindano ya AFCON nchini Cameroon mmoja wa washindi wa wa droo ya shinda na TemboCard Viza, Mwizegwa Osmond Rusibamayila (kulia) wakati wa hafla ya kukabidhi tiketi hizo kwa washindi wa mwezi Disemba 2021, iliyofanyika leo Januari 27, 2022 kwenye Makao Makuu ya Benki hiyo, jijini Dar es salaam. Wengine pichani ni Mkuu wa Kitengo cha Biashara ya Kadi, Farid Seif (kushoto) pamoja na Meneja wa Udhamini na Matukio wa Benki ya CRDB, Lilian Kanora

Leave A Reply