The House of Favourite Newspapers

Dakika 2 za Prof. Jay Bungeni Leo – Video

MSIKIE Mbunge wa jimbo la Mikumi kwa tiketi ya Chadema, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini iliyowasilishwa Bungeni na Waziri mwenye dhamana, Dkt Medard Kalemani.

 

Comments are closed.