The House of Favourite Newspapers

Dakika 4 za Prof Jay kwa Waziri wa Nishati – Video

MBUNGE wa Jimbo la Mikumi kwa tiketi ya Chadema, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ akiuliza swali alilolielekeza katika Wizara ya Nishati na Madini, ameitaka Serikali ipeleke umeme katika Jimbo lake kwani kuna Bwawa kubwa la Kidatu linalozalisha umeme mkubwa lakini wananchi wake hawana umeme.

 

PROF JAY! Mikumi Ina Bwawa la Kidatu Lakini Inausikia Tu Umeme – Video

 
 

 

 

Comments are closed.