Dar Live Pasaka Leo: Burudani Za Watoto Kutikisa, Mwisho wa Ubishi Usiku

Kuanzia saa 4:00 Asubuhi Michezo ya Watoto ikiambatana na burudani mbalimbali zikiwemo Ngoma za Asili, Sarakazi, Michezo ya moto, Nyoka na Wakali Dancer kwa kiingilio cha Shiling 3,000 tu.
Baadae kuanzia saa 12:00 jioni Man Fongo, Dulla Makabila, Sholo Mwamba kukinukisha mapaka Jogoo aseme poo.


Comments are closed.