The House of Favourite Newspapers

Pam D, Msaga Sumu Wapagawisha Mwaka Mpya Dar Live

dar-live-1

pam-d-3

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ akifanya makamuzi usiku wa Mkesha wa Mwaka Mpya ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live kwenye shoo ya kibabe ya Chana Nikuchane.

pam-d-4 pam-d-5

‘Pam D’ akiendelea kufanya makamuzi.

pam-d-6

…Akiongea na mashabiki.

msagasumu-akifanya-yake-jukwaani

dar-live-2

Msaga Sumu akifanya yake.

dar-live-3 dar-live-4 dar-live-5 dar-live-6 dar-live-7

…Akiendelea kutoa burudani.

dar-live-8

MC Darada akitoa burudani.

dar-live-9

Shoo zikiendelea.

Mkesha wa Mwaka Mpya uli-happen ile mbaya ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live ambao shoo ya kibabe ya Chana Nikuchane ilirindima, R.O.M.A Mkatoliki akioneshana kazi na mkali wa Ngoma ya Muziki, Darassa. Baada ya wasanii wa utangulizi kufanya yao, walipanda wengine kama Msaga Sumu, Pam D na Jahazi Modern Taarab lakiniyote tisa, kumi ni Darassa alipopanda jukwaani.

Comments are closed.