DAR: MAITI YA OFISA WA MADINI YAFUKULIWA, YADAIWA KUBAKWA

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mwili wa aliyekuwa Ofisa wa Wizara ya Madini,  MERY MKWAYA MARAMO, aliyefariki mwanzoni mwa wiki hii na kuzikwa jana katika makaburi ya Pugu-Mwakanga jijini Dar es Salaam, umefukuliwa na kutolewa nje ya jeneza kisha kuvuliwa nguo usiku wa kuamkia leo, Ijumaa, Aprili 12, 2019 na watu wasiojulikana.

Kaka wa marehemu Mary aitwaye Deogratius Maramo,  amedai mwili wa marehemu uliingiliwa kimwili lakini bado wanasubiri ripoti ya polisi ili kujua kilichotokea kwani hakuna kitu chochote kilichoibiwa katika kaburi hilo.

Endelea kufuatilia taarifa zetu na YouTube channel ya Global TV Online kwa taarifa zaidi.

Loading...

Toa comment