The House of Favourite Newspapers

Darassa Ameileta Rasmi ‘Achia Njia’ Video Mpya

 

Kimya cha Darassa kimenyamazishwa na nyimbo zake mbili alizozitoa Leo Disemba 14 siku ya ijumaa ikiwemo, ‘Tofauti na Achia Njia’

 

Now ameileta video ya wimbo wake mpya ‘Achia Njia

 

Video imeongozwa na Justin Campos, audio imefanywa na ma producer wawili akiwemo MrVs  na Abbah Process.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

 

 

Comments are closed.