The House of Favourite Newspapers

DARASSA ARUDI TENA UPYA,KUNA NINI? (VIDEO)

 

Rapa Darassa CMG aliyefanya vizuri na nyimbo zake ikiwemo Kama utanipenda, Muziki, Too much na nyinginezo amerudi tena upya kwa kishindo.

 

Ujio huo umesindikizwa na video katika ukurasa wake wa instagram akiwa na wafanyakazi wa zima moto huku ikiwa na maelezo yanayosomeka, “Kivuli changu ujanja wa kukikimbia NTAANZIA WAPI! Haya, Haya, Kumekucha alie ulizia Mambo yako Kati, Kati! tag rafiki zetu wambie watu wetu kama Tuko live kwenye MTANDAO!

 

 

Kuna tetesi kwamba maneno aliyoyaandika Darassa ni mashairi ambayo yatapatikana kwenye wimbo wake mpya na hiyo video kuna uwezekano ni kipande kitakachopatikana kwenye video ya wimbo wake anaotarajia kutoa lakini haijathibitishwa.

 

Pata fursa ya kuitazama video hapo chini .

Comments are closed.