The House of Favourite Newspapers

Demu Mpya wa Cristiano Ronaldo Awatoa Udenda Midume

nintchdbpict000284538525

MWANASOKA maarufu wa timu ya Real Madrid (31), ya Hispania, Cristiano Ronaldo, amepata kimwana mpya ‘mkali’  aitwaye Georgina Rodriguez ambaye vivazi vyake vinatosha kuwatoa udenda wanaume wa kila aina.

nintchdbpict000284491784

image_portrait_w674m‘Mtoto’ huyo wa Kihispania alikutana na Ronaldo  katika eneo maarufu la kula bata la Dolce & Gabbana ambapo mcheza kabumbu huyo alimchangamkia na kujiachia naye waziwazi katika eneo maarufu alillokwenda kujinafasi la Disneyland, jijini Paris wiki hii.

nintchdbpict000284138797

pay-exc-christiano-ronaldo-seen-with-new-girlfriendKatika kumpa kampani kimwana huyo, Ronaldo alikuwa amevaa kapelo na nywele za bandia, wakati Georgina alikuwa amejikoleza vikilombwezo vya kina aina vilivyomtoa kinoma.2016112317222587029
nintchdbpict000284172890-e1480036870332

nintchdbpict000284172369-e1480036947981

Comments are closed.