The House of Favourite Newspapers

Dereva wa Basi la New Force Mbaroni kwa Overtake

Dereva wa Basi la Kampuni ya New Force akamatwa na Jeshi la Polisi kwa kuvunja sheria za barabarani na kuhatarisha maisha ya abiria ambapo alikuwa akiendesha Basi la Kampuni hiyo linalofanya safari zake za Dar es Salaam na Wilayani Kyela Mkoani Mbeya

Kupitia ukurasa wetu leo tuliweka video inayoonesha namna Dereva huyo na Mwingine walivyohatarisha maisha ya abiria waliokuwa wamewabeba

Aidha Waziri wa Mambo ya Ndani, @mwigulunchemba kupitia ukurasa wake wa Instagram amekemea vikali na kuahidi kuwa Dereva yeyote atakayevunja sheria hatoachwa na mkono wa sheria.

Duh, hatari Sana.

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Comments are closed.