The House of Favourite Newspapers

Diamond Apiga Shoo Simba Day, Uwanja Wasimama (Picha+Video)

0
Staa wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul ‘Daimond Platnumz’ akitoa burudani Uwanja wa Mkapa Simba Day.

SIMBA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’  Agosti 22, 2020 ametua na Helkopta na kushusha burudani ya kiwango cha juu kwa mashabiki wa Simba SC waliojitokeza.

Mashabiki wa Simba wakimshangilia Diamond.

Diamond ametoa burudani ya nguvu akiimba nyimbo mbalimbali ikiwemo ya kuisifia Simba inayoitwa Simba, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ alishindwa kujizuia na kuungana naye.

Makamuzi yakiendelea.

Diamond alipomaliza kupiga shoo, akaondoka eneo la tukio na usafiri aliokuja nao. Kumbuka Diamond alipiga shoo hiyo kwa takribani dakika 30, kuanzia saa 10:24 hadi 10:54 jioni, huku akiwa na madansa 68

 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

…Diamond akicheza shoo na madansa wake.
…Madansa wakifanya yao.
Staa wa Muziki wa Bongo Fleva kutoka katika Lebo ya WCB, Raymond Shaban Mwakyusa ‘Rayvanny’ akifanya yake na Diamond.
Diamond akitoa burudani kwa mashabiki wa Simba.
Msanii wa bongo fleva, Marioo akitoa burudani.
Msemaji wa timu ya Simba, Haji Manara akicheza moja ya wimbo wa Diamond Platnumz.

PICHA NA RICHARD BUKOS, MUSA MATEJA,  GPL

 

Leave A Reply