The House of Favourite Newspapers

Diamond, Mastaa Walivyomzika Director Khalfani Makaburi ya Kisutu – Video

0

Safari ya mwisho ya dairekta maarufu wa video za muziki Bongo, Dairekta Khalfan imehitimika katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Mastaa wengi wamejitokeza kwenye mazishi hayo, wengi wakiwa ni aliowahi kufanya nao kazi na wengine ni marafiki zake wa karibu.

Miongoni mwa waliohudhuria mazishi hayo, ni staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz.

Director Khalmandro amefariki Dunia Mei 5, 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

Leave A Reply