The House of Favourite Newspapers

DIAMONDI NA ZARI ‘WAFUNGA NDOA’ KWENYE IYENA (Picha + Video)

Msanii wa Bongo Fleva Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz akipewa mkono wa pongezi baada ya ndoa yake na Mpenzi wake, Zarinah Hassan ‘Mama Tiffah’.
Diamond Platnumz na Mpenzi wake, Zarinah Hassan wakiwa pamoja.
…Madikodiko yakiandaliwa
…Akiongea na marafiki zake.

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’  ameoneka kufunga ndoa na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ katika video yake mpya ya Iyena ambayo kamshirikisha Rayvanny.

Diamond Platnumz Ft Rayvanny – Iyena (Official Music Video)

Comments are closed.