The House of Favourite Newspapers

DK 4 za Mtulia Bungeni: ‘Michepuko’ Inakubalika – Video

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia, akichangia Mjadala wa ujenzi wa barabara na ATCL, uliopo katika bajeti ya wizara ya ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kwa mwaka 2018/19, iliyosomwa juzi na Waziri wake, Profesa Makame Mbarawa, ameiomba wizara hiyo kuzipandisha hadhi baadhi ya barabara na kuziwekea lami badala ya kuweka vumbi au changarawe kwani kufanya hivyo kuwapelekea vumbi wananchi wa Kinondoni ambao nyumba zao zimesongamana.

Aidha, Mtulia amesema Barabara za ‘Michepuko’, (za mkato) zinaruhusiwa kwa maeneo ya mjini ili kuharakisha usafiri kwa watumiaji na kupunguza misongamano.

VIDEO: MSIKIE MTULIA AKIFUNGUKA

Comments are closed.