The House of Favourite Newspapers

Dk. Fadhili ahamasisha wasomaji kununua Amani

0

Fadhili-Emily2MWANDISHI WETU

DAKTARI wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Dk. Fadhili Emily amewahasisha wasomaji wa magazeti Pendwa kununua gazeti la Amani ili waweze kujishindia TV Flat Screen.

Dk. Fadhili ambaye hospitali yake imekuwa ikitibu magonjwa mbalimbali yakiwemo ya wazazi kupitia mimea ya asili, alisema ameguswa sana na hadithi mbalimbali zinazopatikana katika gazeti hilo hivyo ameona adhamini chemsha bongo hiyo inayorudisha fadhila kwa wasomaji.

“Niwashauri wasomaji walinunue gazeti la Amani kila siku ya Alhamisi, watapata faida mara mbili. Watapata hadithi za kusisimua, watapata pia zawadi ya Flat Screen ambayo imeunganishwa na king’amuzi chake,” alisema Dk. Fadhili.

Jinsi ya kushiriki chemsha bongo hiyo, tazama ukurasa wa pili wa gazeti hili.

Je, nini kitaendelea? Usikose mwendelezo wake wiki ijayo.

Leave A Reply