The House of Favourite Newspapers

Karibu Kwenye SALE Kubwa

Karibu kwenye SALE 🎉 kubwa kutoka @beipoa_fashion yaani kila kitu ni 8000 TU 😳 kuanzia 👉Dresses 👗 👉Jeans 👖 👉Jumpsuits 👉Blouses 👉Shirts 👕…

Kikosi cha Simba ‘Chamtesa’ Gomez

KOCHA Mkuu wa Simba Mfaransa, Didier Gomes atakuwa na kibarua kigumu katika kupanga kikosi chake cha kwanza katika msimu ujao. Hiyo ni kutokana na usajili babkubwa uliofanywa wa wachezaji wapya katika kutengeneza kikosi…

Ajibu Awatetemesha Chama, Kahata

KUTUA kwa aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu Simba kutawapa ugumu wa namba viungo wenzake Mkenya, Francis Kahata na Mzambia, Clatous Chama kwenye timu hiyo. Ajibu na Kahata wote walijiunga kwa pamoja…

Kagere Akimbilia Gym

Wakati  Yanga wakianza mazoezi ya pamoja Jumatatu iliyopita kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara, mshambuliaji wa Simba Mnyarwanda, Meddie Kagere naye ameanza kufanya programu binafsi ya gym pekee. Yanga…

Vita ya namba Yanga Usipime!

KUMEKUCHA Yanga! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya nahodha msaidizi wa timu hiyo, Juma Abdul kudai kuwa vita ya namba msimu ujao itakuwa ni balaa kutokana na usajili wa nguvu uliofanywa na uongozi wa timu hiyo hivi karibuni.…

Dar Musica yazinduliwa kwa kishindo

Prezidaa wa Dar Musica, Jado Field Force akionesha ubora wake kazini. Vimwana wa Dar Musica katika pozi baada ya kushuka jukwaani. Mashabiki wakijimwaya. Wanenguaji wakifanya manjonjo. Shabiki huyu baada ya kukunwa alimpandia…

Wizkid alivyopagawisha Dar

Wizkid akikonga nyoyo za mashabiki waliofurika kwenye Viwanja vya Leaders usiku wa kuamkia leo. Akizidi kuwarusha mashabiki. Diamond Platnumz naye akinogesha onyesho hilo.  ...Akinengua na madansa wake. Christian Bella naye…

Wamerudi tena

Hans Mloli,Dar es Salaam VITA ya mechi za wikiendi iliyopita imeshasahaulika na leo Jumatano timu 10 zitadondoka dimbani kuwania pointi tatu muhimu lakini gumzo kubwa ni kwa vigogo wa Ligi Kuu Bara, ambapo Yanga itakuwa Dar kwenye Uwanja…

Vai adai hana sifa za mke

Imelda Mtema KATIKA hali ya kushangaza, msanii wa filamu asiyeishiwa vituko, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amekiri kuwa tabia zake za kulewa kila siku zinamfanya kukosa sifa za kuwa mke wa mtu. Akizungumza na mwandishi wetu hivi…

Chelsea wapigwa na Liverpool bao 3-1

Wachezaji wa timu ya Liverpool wakimpongeza Philippe Coutinho (katikati) baada ya kufunga bao la kusawazisha dakika  45 kipindi cha kwanza katika Uwanja wa Stamford Bridge. Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp  akishangilia. Wachezaji wa…

Ndege ya Urusi yaanguka Misri na watu 224

Ndege ya Shirika la Kogalymavia la Urusi, Airbus A-321 iliyoanguka eneo la Sinai nchini Misri. Waziri Mkuu wa Misri, Sharif Ismail akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani). Ramani ikionyesha eneo la Sinai nchini…

Mzungu akiona cha moto

Akiwa chini ya ulinzi. CHANDE ABDALLAH SHERIA yachukuwa mkondo wake. Hilo limejidhihirisha baada ya Henry Domzalski (66), raia wa Marekani aliyedaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya bangi mwaka 2013 nyumbani kwake Msasani Beach…

Wema Aangusha Dua

IMELDA MTEMA WEMA Sepetu ‘Madam’ ameangusha dua ya nguvu nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar ikiwa ni maalum kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa ushindi wa rais mteule wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe…

Waoo…! Kama Jana Vile!-18

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO: Waliangaliana kwanza japokuwa kulikuwa na giza zito, mama Monica akacheka kidogo kwa sauti, Magembe akaachia tabasamu. Lakini mara mlango ukagongwa kwa ustaarabu sana... “Ngo...ngo...ngo!” Wawili hao walikuwa…

Professa Jay; Mheshimiwa asiyekubali kuacha muziki

Mwana Hip Hop mkongwe Bongo, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ hatimaye wiki hii alifanikiwa kunyakua kiti cha Ubunge wa Jimbo la Mikumi, Morogoro kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambacho alikuwa akiwania na mgombea kutoka…

Joto la Mapenzi – 46

ILIPOISHIA... “Mwanao mbishi, kama ataendelea na ubishi huu ataozea gerezani.” “He! Kwa kosa gani?” “Kwa lililotokea chanzo ni yeye.” “Baba huyo mwanangu na mambo hayo wapi na wapi?” “Kwani muuaji ni nani yake?” “Mzazi mwenzake.”“Sasa…

Unending Love 51

Mapenzi ya dhati aliyonayo Jafet kwa Anna, yanamfanya awe tayari kufanya chochote kumsaidia msichana huyo. Licha ya tofauti kubwa ya hali zao kiuchumi, Anna akitokea kwenye familia ya kitajiri na kijana huyo akitokea kwenye familia ya…

Kwa Mwanangu Nitakayemzaa 29

Mtima, mtoto wa Abikanile, msichana aliyeteseka sana siku za uhai wake, kisa kikiwa ulemavu wa ngozi anafanikiwa kuufahamu ukweli juu ya asili yake ambao alifichwa kwa muda mrefu na walezi wake, bwana na bibi Johannes, walioamua kumueleza…

Rayuu achefuliwa na wasanii wanaodandia waume za watu

Mrembo anayekimbiza kwenye soko la filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ hivi karibuni ametoa dukuduku la moyoni kwamba, anachukizwa na waigizaji wa kike ambao wamekuwa wakijitengenezea skendo za kutembea na waume za watu ili kutafuta…

Niliolewa na Mganga kwa Tamaa ya Cheo Kazini-30

ILIPOISHIA: “Sasa ushindwe mwenyewe.” “Sijawahi kushindwa na kitu cha kibinadamu, siwezi kudra ya Mungu lakini si ya mwanadamu wala majini sijawahi kushindwa.” “Sasa babu leo ndiyo kikao kimekaa na jina tayari limepitishwa, unafikiri hapo…

Tatizo la mimba kutunga nje ya mji wa mimba

LEO ningependa tupeane ufahamu kuhusu mimba kutungwa nje ya mji wa mimba. Wanawake wengi wamekuwa wakilalamika wanasumbuliwa na tatizo hili na imefika hatua wengine wanaogopa kujihusisha na uzazi kwa sababu ya tatizo hili. Mimba kutunga nje…

Wolpper amfungukia mrithi wa Mkongo

Mwigizaji Jacqueline Wolper SIKU chache baada ya kumwagana na aliyekuwa mchumba wake, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mwigizaji Jacqueline Wolper amesema kuwa hawezi kuendelea kubaki bila mtu lakini anahitaji mtu mwenye sifa.…

Mrembo amburuza Dude polisi

Mrembo anayedai kuzaa na mwigizaji Kulwa Kikumba ‘Dude’, Ester Eliakim akiwa na mtoto huyo. GLADNESS MALLYA MREMBO anayedai kuzaa na mwigizaji Kulwa Kikumba ‘Dude’, Ester Eliakim amekwenda polisi, Kituo cha Stakishari kumshtaki mwigizaji…

JB: Kikwete anatuacha Pazuri

Staa wa Bongo Movie, Jacob Steven JB akisalimiana na rais  Jakaya Kikwete. MWANDISHI WETU MKONGWE kwenye sanaa ya filamu Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ amefunguka kuwa rais wa awamu ya nne anayemaliza muda wake, Jakaya Kikwete anaondoka…