The House of Favourite Newspapers

Dkt. Tulia Ackson Rais Mpya Wa Umoja Wa Mabunge Duniani (IPU)

0

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ametangazwa kuwa Mshindi wa nafasi hiyo Octoba 27, 2023 baada ya kupata Kura 172 kati ya 303 zilizopigwa
Matokeo ya jumla yalikuwa kama ifuatavyo:
Adji Diarra Mergane Kanouté (Senegal) – 52
Catherine Gotani Hara (Malawi) – 61
Marwa Abdibashir Hagi (Somalia) – 11
Dkt. Tulia Ackson (Tanzania) – 172

Dkt. Tulia anachukua nafasi ya Duarte Pacheco kutoka Ureno aliyechaguliwa mwaka 2020. Ni Rais wa 31 na Mwanamke wa kwanza kutoka Afrika kushika nafasi hiyo.

Leave A Reply