The House of Favourite Newspapers

Dogo Janja : Hakuna Kama Mama

0

Janja na mama yake

Dogo Janja akipata selfie na mama yake mzazi.

Na Leonard Msigwa/MTANDAO

Mwanamuziki Abdulaziz Abubakari ‘Dogo Janja’ anayetamba kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva na nyimbo za My Life na mpya aliyotoa siku za hivi karibuni iitwayo Kidebe Jumapili hii ametupia picha akiwa na mama yake mzazi na kuandika maneno yafuatayo:

“Pacha wangu.. Dear mom” picha hiyo ameipiga leo muda mfupi baada ya kumtembelea mama yake mzazi anayeishi Moshi mkoani Kilimanjaro.

Leave A Reply