The House of Favourite Newspapers

Dkt ABBAS: Wanahabri RUKSA Kuikosoa Serikali – Video

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amesema kuwa vyombo vya habari vinaruhusiwa kuikosoa serikali na siyo kosa kufanya hivyo, lakini haviruhusiwi kuitukana.

 

Dkt. Abbas amesema hayo leo Jumatano, Novemba 21, 2018 wakati akizungumza na wanahabari wanafunzi katika Chuo Kikuu Cha Tumaini kuhusu masuala mbalimbali ya tasnia hiyo ikiwemo kuanzishwa kwa Baraza Buru la Vyombo vya Habari nchini.

Comments are closed.