The House of Favourite Newspapers

Dstv Waibuka Na Maskani Poa Ya Tid Na Chid Benz, Salama – Video

0

Afisa Masoko wa MultChoice Tanzania (DStv), Shumbana Walwa akiwa sambamba na waongozaji wa kipindi cha Maskani Poa; Khalid Momahed ‘TID’ na Rashidi Makwiro ‘Chid Benz’ pamoja na Salama Jabir ambaye ni hosti wa kipindi cha Salama Na,  Oktoba 20, wamepata nafasi ya kutembelea mjengo wa Global Group Sinza Mori jijini Dar na kueleza kwa kina uhondo unaopatikana katika vipindi hivyo vipya ndani ya DStv.

Wakiwa mjengoni, Shumbana na msafara mzima alioambatana nao, walipata nafasi ya kutembelea kwenye vitengo mbalimbali vya Global Group ikiwemo magazeti ya Michezo ya Championi na Spoti Xtra, kitengo cha IT na kisha kufanya mahojiano ndani ya +255 Global Radio

Leave A Reply