The House of Favourite Newspapers

Eden Hazard Kujiunga na Real Madrid

Eden Hazard

WINGA wa Chelsea, Eden Hazard yupo kwenye kizungumkuti cha kubakia katika klabu yake au kujiunga na Real Madrid. Hazard mara nyingi amekuwa anakwepa kujibu pale akiulizwa kama anaondoka Chelsea.

 

Baba yake aliwahi kukaririwa akidai kuwa mwanae anataka kuchezea Real msimu ujao. Uvumi wa yeye kutaka kuondoka unaongezeka zaidi kwa kuwa amegoma hadi sasa kusaini mkataba mpya na Chelsea

Comments are closed.