The House of Favourite Newspapers

Emiliana Ajishindia Laki Tano, Siku yake ya Kuzaliwa

Emiliana (21), mkazi wa Vingunguti, Dar es Salaam.

Emiliana (21), mkazi wa Vingunguti, Dar es Salaam alianza kucheza MojaSpesho wiki nne zilizopita na juzi alifanikwa kutoboa ushindi baada ya kucheza namba 3 za bahati ambazo alizitengeneza kutoka katika siku yake ya kuzaliwa.

 

“Nilivyopigiwa simu sikuamini, nilijua ni matapeli wa mjini. Lakini wakanielezea vizuri na kunambia namna ya kupata pesa yangu niliyoshinda. Na sasa nimeupata ndo nimeamini.” ameeleza Emiliana.

Nawe pia unaweza kuwa mshindi kila siku na jackpot ya kila wiki. Jinsi ya kucheza Mojaspesho ni rahisi

1. Nenda kwenye menu yako ya #Mpesa, #TigoPesa, #AirtelMoney au #Halopesa;
2. Chagua lipia bili
3. Ingiza kampuni namba 123255
4. Ingiza kumbukumbu namba zako 3 za bahati zikifuatiwa na neno SEE mf. 123SEE
5. Weka kiasi kuanzia sh 1000 na utakua umecheza #Mojaspesho.

Comments are closed.