The House of Favourite Newspapers

BREAKING: WEMA Aomba Msamaha Hadharani – Video

Muigizaji maarufu Bongo, Wema Sepetu, amewaomba radhi waandishi wa habari  kutokana na kile kilichotokea kwenye uzinduzi wake uliofanyika juzi Ijumaa katika ukumbi wa Mliman City.

Waandishi wa habari walizuiliwa kuingia ndani kwa kile ambacho Wema anadai ni kutokana na wageni walioalikwa kwenye uzinduzi huo kutopenda kupigwa picha.

Comments are closed.