The House of Favourite Newspapers

Eric Omondi Kaicheza Upya Movie ya Adam na Eva

Mchekeshaji wa Kenya Eric Omondi amekuwa na utundu wa  kuzirudia na kuziigiza movie na nyimbo za mastaa mbalimbali ambapo wakati huu ameirudia sehemu ya movie ya Adam na Eva wakiwa kwenye bustani ya Eden.

Comments are closed.