The House of Favourite Newspapers

ESTER KIAMA: NIMEGUNDUA WANAWAKE WAZURI HATUOLEWI

Ester Kiama

MWIGIZAJI sexy kunako Bongo Muvi, Ester Kiama amesema kuwa, amegundua kuwa wanawake wazuri siku zote ni vigumu kupata waume wa kuwaweka ndani, hasa kwa mastaa.

Kiama aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, mara nyingi anapoamka anajiangalia kwenye kioo, lakini hagundui kasoro yoyote ya kumfanya mwanaume ashinde kufanya uamuzi wa kutaka kumweka ndani na kuwa mkewe.

“Ninajiuliza ni kwa nini wanawake wazuri ni vigumu kupata waume? Hata mimi ninajiuliza kwa nini sipati mume akaniweka ndani kama mke?” alihoji Kiama.

Comments are closed.