The House of Favourite Newspapers

Europa: Man U Yachapwa Ugenini, Genk ya Samatta Yapigwa 5-3 Hispania

man-uuMichuano ya Ligi ya Europa iliendelea jana usiku, November 3 kwa michezo kadhaa kupigwa huku Manchester United ikiendelea kupoteza michezo yache baada ya kukubali kichapo cha bao 2-1 kutoka kwa wenyeji wao Fenerbahçe.

 

mourinhoKocha wa Man U, Jose Mourinho amewaangushia lawama wachezajiwake kwa kukubali kichapo hicho dhidi ya Fenerbahce huko Istanbul.

rooney

Mourinho kwa upande wake alianza kupoteza matumaini ya mechi hiyo kunako dakika ya 65 kwenye Uwanja wa Sukru Saracoglu Stadium licha ya bao la Wayne Rooney la 38 kwenye michuano ya Europea akiifikia rekodi ya Ruud van Nistelrooy.

ibrahimovic jeremain_lens_right man-united man-united1 man-uniteds man-untd man-uuu marcos-rojo matteo-damian  pogba pogbas  schiderlin

man-uAthletic Bilbao ya Uhispania ikaichakaza KRC Genk ya Ubelgiji kwa bao 5-3 magoli yote ya Bilbao yakiwekwa kimiani na mshambuliaji Aritz Aduriz.

Comments are closed.