The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE: DR SHIKA Karudi Tena kwa Kishindo, Mabilioni Yake Je? – VIDEO

Miongoni mwa watu waliotikisa mwishoni mwa mwaka jana 2017, huwezi kumuacha Dkt Luis Shika, ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kufuatia mnada wa nyumba za mfanyabiashara Said Lugumi, alizotaka kununua na baadaye akaibuka gumzo kwa kuonekana tapeli hali iliyopelekea kampuni iliyokuwa ikisimamia Mnada huo ya YONO kumfikisha kwenye vyombo vya sheria.

 

Dkt. Shika amefunguka mengi kuhusu maisha yake ya sasa, mabilioni yake ya urusi na biashara zake zinavyoendelea.

MSIKIE DKT. SHIKA AKIFUNGUKA

Comments are closed.