The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE: Halima Mdee Ataja Orodha ya Viongozi Bora 2018 – Video

Mbunge wa Kawe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake BAWACHA, Halima Mdee akifanya exclusive interview na Global TV Online amefunguka mambo mengi ikiwemo viongozi waliofanya vizuri kwa mwaka 2018 katika serikali ya awamu ya tano.

Kwenye orodha hiyo wamo; Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William  Vangimembe  Lukuvi  na  Katibu Mkuu TAMISEMI, Eng. Mussa Iyombe.

MSIKIE MDEE AKITAJA ORODHA NA VIGEZO HAPA

Comments are closed.