The House of Favourite Newspapers

#Exclusive: Mkubwa Fella Afunguka Zuchu Kufungiwa Zanzibar -Video

0

MENEJA wa staa mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul almaarufu Diamond Platnumz, Said Fella maarufu kama Mkubwa Fella amefunguka sakata la malkia wa muziki wa Kizazi Kipya, Zuhura Othman almaarufu Zuchu kufungiwa na Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar kuendesha shughuli zote za sanaa.

Hatua hiyo imekuja baada ya tukio la Februari 24 mwaka huu Zuchu wakati akitumbuiza katika usiku wa Fullmoon Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja kudaiwa kuimba nyimbo, kutoa matamshi na kuonyesha ishara mbaya ambazo ni kinyume na maadili ya kizanzibari.

Leave A Reply